Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

2003-2006 again 2007-2009
An amazing history n experience to be there...once n 4all everthing is remembered...
State house enzi hizo bora uingie Staff room...
Kuitwa na HB bora Kisusange aagize uonanenae...
Bogius Mwigunda superHB wa muda wangu aiseeee...
Jamaa alikua Talented God bless him...
 
Kuna club ya wana iyunga inautwa issac,imesajiliwa. Ipo ki sheria. Kwa mwana iyunga yeyote anaetaka kujiunga awasiliane na katibu dotto 0782 509 570 au 0659 120 233
 
Mkuu we ulimaliza na akina Cuthbert melele na akina ndenga akina Mngazija hawa jamaa generation ilikua balaa mibangi kibao
Nawakumbuka hao jamaa, Wiliam mngazija na cuthbert merere nilikuwa class monitor wao form 1F 2002,
 
hahah da me nilikuwa na idea ya kuandaa movie ya lifestyle ya iyunga ya kipindi kile ionyeshe uhalisia wa maisha tuliyokuwa tunaishi...aisee itakuwa poa sana
Mkuu ukiwa tayari kuandaa hiyo move nishirikishe, napamiss sana Iyunga
 
David mwakitalu nilikutana nae ni police kilimanjaro
 
Iyunga sitapasahau, Enzi hizo Azizi alikuwa Vice P, alikuwa na asili kama ya uarabu, nakumbuka siku moja lilitokea mtiti huko Msikitini alipigwa mikanda na Akina Kinyonga kisa kwenda disco loleza, Kinyonga alikuwa mwenyekiti wa Shaban Robert akavuliwa, Nawakumbuka akina Jackson HP wa 2002, mzee wa Aroo zimenyesha ngapi....akina Mfulu short chases, Maheri waziri wa Elimu, Jumanne makolele waziri wa Afya, Oswad Ndunguru,akina Bogias,
 
Yap mkuu enzi za wababe wa msuli akina tibinura,kundete,hamidu ,mkemwa hahahah jamaa walifumua mi 1 ya singo tupu daah iyunga ilikuwa raha sana
Umenikumbusha mbali asee hao tulikua nao mwaka mmoja asee iyunga ilikua hot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…