Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
...Tetesi kwenye habari na hoja mchanganyiko,
..halafu unatuuliza tena!
.kuwa serious mhenga!
..halafu unatuuliza tena!
.kuwa serious mhenga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PhD yake itakusaidia kwa lolote?Asante kwa masahihisho mkuu bila shaka jamaa atakuwa ameshachukua Phd kabisa maana. hadi 2008 Alikuwa na masters na alikuwa anahangaikia Phd
James Delicious? Yupo wapi siku hizi?Mi namkumbuka mwanafunzi James!
Yule punga Au[emoji41][emoji41]James Delicious? Yupo wapi siku hizi?
Ulivyosema mkisi. Umenikumbusha mkisi program, Ilikuwa hatari kipindi cha 2004/2006. Form five to six. Ile shule hatari sana nakumbuka msanii Noora alikimbia shule kwa sababu ya pilika pilikamimi nmesoma jkt kipindi mkuu wa shule akiwa ni Mkisi....
Kessyhapana martin mkisi hayupo jitegemee kwa sasa... amepanda cheo na kuwa luten kanali na sasa ni mkuu wa kambi ya Ruvu Jkt. Mkuu wa sasa hapo jite bado sijamfaham
Mbonabucha a rip miaka zaidi ya kumi na tano agohalafu huyu jamaa si alianzia pale pale olevel akapanda alevel
Duh alikuja kuwa headmaster kumbe
Mbonabucha sijui yuko wapi na yule mama wa skauti alikuwa mnoko kama nini
Amestaafu 2015 au 2014Babu mafunguo yupo?
Huyu mama mpuuzi sana,nilitoka chuo nikalamba ajira pale,kuna kabinti flan kakawa kanataka lkn na mimi nlikuwa na choice nyingine baadaye wakajuana wakazingua,kale kabinti kakapata moja kwenye test,ikakaumaaa,kakaenda kumwambia yule mama kwamba nimekaonea.Ngoma kwa Mkisi,alifanya uchunguzi akaja kugundua binti hakuonewa.Hii ilinichefua nikaamua kula boda.Hii issue ilinifanya nikaondoka jiteute.Mama nyitike huyo na mr charls ndio walikuwa scout
Halafu ukaenda chuo cha ushirika moshiMimi ni alumni wa taboraboys na mzumbe sec