Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jina unalikumbuka....?Nilikuwaga na mwalim wangu mmoja hivi alitufundisha commerce form one hadi four...aisee huyu mwalim alikuwa anajua kufundisha nilikuwa namkubali sana...alikuwa bongebonge kidizain alikuwa na sura ya kichaga....siku nikimona nitafurahi sana...2001-2004 ilikuwa
Me nimesoma jitegemee 1992_ 95 enzi ya kina banabucha, ngajua na bwenge kipindi kile cha mechi yetu na tambaza uwanja wa taifa na sisi ndio chanzo cha kufungwa shule ya tambaza tulipo wafunga hasira zao wakaua kondakta wa chai maharage, jite ile ilikuwa balaa
jamaa mtata mbaya, amevuga shule sana.....
![]()
Salaam kwa wote mliowahi kusoma Shule ya Sekondari ya Jitegemee lengo la uzi huu ni kusalimiana na kukumbushana vitu vizuri na vya kipekee vinavyopatikana/vilivyokuwa vinapatikana shuleni Jitegemee
binafsi nakumbuka sana vitu vifuatavyo
1. Mkungu Tree: Huu ni mti unaotumiwa sana kwa ajili ya kufanyia vikao na School baraza
2. Uwanja wa damu:
kuna eneo linaitwa loliondo eneo hili lipo kwenye hostel ya wavulana.maticha ninao wakumbuka ni mbonabucha,ndeha,wajadi others u name it
nimesumbua sana pale jkt 2005-2008 watoto wa mrimi mnandi form one A1(2005). ibra apa nimesumbua sn hapo jkt.0717 927771 nichek km unanipata
Tulimaliza mwaka mmoja mkuu....Naamini tutakuwa tunafahamiana maana nilikuwa pale miaka ya 1993 -1996 na ugomvi huo nilikuwepo sana