Hahaa, kwembe mzee wa madumu, alinibebesha dumu 46, kwa mara ya kwanza nikaona huruma ya alieka discpline master kpnd kile jina nimesahau jamaa flan alikua white ana mwili mkubwa kias na kiji mustach na manywele, akaniombea msamaha japo jana yake alituchania modo mpaka kwenye mapaja halaf akatuzungusha kantine mda wa lunch, we bwana weee, yan waliokua wamevaa boksa au pichu tu ni mambo nje nje, watu sio kucheka huko cantine yote hoi, orando nae akaja kunikamata kwenye vibweta mda wa darasan, My class teacher PCB Mgomba akanitetea, ndiamkama akanidaka sina pin tai, nikamuoshea kale ka suzuk kake ikaisha, nikadakwa na simu nikapostiwa getn pale kwa kumalija, kila afande anaekuja ni fimbo ni push up. Ile shule kwa kweli imenishepu sana mpake leo nipo panctual na shapu sana. Wapi p.didy, mkisi, tall, Malegesi, bruno, weng sana sana nimesahau majina.