Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Arando
Kumalija
Masemelenpopote walipo nawasalimu
Kumalija
Masemelenpopote walipo nawasalimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi namkumbuka mwanafunzi James!
Tulimaliza mwaka mmoja mkuu....
Shule imetuzawadia nidhamu ya maisha
Uyo afande kumalija tulikuwa tunamsumbua sana kule madasani tulikuwa tunamzungusha tu kwa mbio muda wa assembleArando
Kumalija
Masemelenpopote walipo nawasalimu
Nyahonyo alikuwa teacher wetu wa darasa baada ya afande BisekoWapi MTOKAMBALI, KWEMBE, NDIYAMUKAMA, NYAHONYO, NZIKU, CHAO bila kuwasahau walimu wng wa darasa wa 4m 5 na 6(HGE) 2011-2013 NGAMESHA na KINYERO..
Kuna afande babu mbeba mafunguo kila jioni yeye ndo anafunga madarasa yote pia alikuwa sana ofisi ya Head master Mkisi sijui kama bado yupo
Kumbe kastaafu. Mzee alikuwa akiwakuta mmekaa anaanza story za mafumbo ambazo kama humsikilizi vizuri uwezi muelewabichize, alishastaafu tayari
mwee. jaman mpare wawatu ripHahahaha kweli aisee. Mwanae alikuwa na wajihi kama baba yake. Cha kushangaza walikuwa wanaishi wawili tu kwenye ile nyumba pale nyuma ya ofisi ya Massawe.
Mrimi Mnandi alifariki yes, nakumbuka last time nakutana naye alikuwa anaandaa Reunion ya Jitegemee na alinisihi sana nije ila bahati mbaya alinikuta na ticketi mkononi hivyo sikuweza kuhudhuria sherehe ile. Yule Mpare alijua kutengeneza pesa. Mwaka mmoja baadaye ndo akafariki dunia. RIP.
Ila wadau wengi pale wameshatangulia kujibu kwa Mungu. Mungu awarehemu.
hahHAhaa kwahiyo bwenge hakummaind Huyo DogoNakumbuka bwenge alikuwa na sira mbaaya sasa sijui binti yake kama alifata hasara ya sura ile kwa bahat mbaya sikuwah kumwona huyo binti namkumbuku pia mwl Ntibuela alikuwa poa sana, nakumbuka wakati nasoma ilikuwa mwiko mwanafunzi kwenda shule na zaidi ya shilingi elfu tano na tena kuna wakati walimu walikuwa wanatukagua.
Siku moja kuna mwanafunzi tulikuwa tunamwita mdudu nyoka alikamatwa akiwa na shilingi elfu sita akatakiwa amwite mzazi.
Jamaa kufika nyumbani akamwambia mzee wake kuwa ada aliyompa amenyang'anywa na mwalimu mmoja anaaitwa Bwenge, kumbuka wakati huo tulikuwa tunalipa ada shilingi laki moja na elfu ishirini.
Siku ya pili mzazi wa mdudu nyoka yaani mzed nyoka mwenyewe akaja shule akitaka kumwona huyo mwalimu aliyepora ada ya mwanae. Kufika ofisini akakutana na Bwenge basi mzee akaanza kumweleza bwenge kuwa ile hela ilikuwa ni ada hivyo mwanae hana kosa hivyo ampe hiyo hela akalipe hapo ndipo kazi ilianza bwenge katoa elfu sita mzazi akakataa akasema na laki na ishirini wakashindwa kuelewana akaitwa mkuu wa shule afande Massawe.
Kesi ikawa kubwa ikabidi aitwe mdudu nyoka kuulizwa jana bwenge alichukua sbilingi ngapi akasema na laki na ishirini hiyo kauli ilimchanganya mno bwenge na kwa kuwa Massawe hakutaka liende mbali ikaamriwa bwenge arudishe laki na ishirini siku hiyo nilimwona bwenge akitoa machozi unajua wakati huo hiyo hela ilikuwa nyingi sana.
Toka wakati huo ikawa hakuna kupekuana tena na nakumbuka mdudu nyoka alikuwa tajiri kwa mwezi mzima mpaka akamaliza ile ada.
Kama ni miaka ya nyuma ungekutana na chuma kinaitwa mwl wajadi a.k.a mdudu,ungenyooka mwenyeweNilikuwa nimepinda wazazi wakanipeleka hiyo shule hostel wakiamini nitakuwa na nidhamu miezi sita nikapinda zaidi wakaona isiwe taabu nikahamishwa.