Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

Urban Edmund

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
2,250
Reaction score
3,607
Habari za kazi wana Jf, Tunajua kuna level nne za shule (secondary/Ordinal level) hapa kwetu Tanzania
1. Special (Vipaji maalumu)
2. Technical (Ufundi)
3. Boarding (Bweni kawaida)
4. Teule (shule za halmashauri )
5. Day (kata)

wale waliosoma shule za ufundi tujadili ubora na madhaifu yaliyokukuta/ulioyaona kwenye shule hizi (Iyunga, Ifunda, Mtwara Tech, Moshi Tech, Tanga Tech, Musoma Tech na Bwiru Tech zimeongezeka mwadui na chato Tech)
changamoto
• ufundi mnasomea darasani tu hakuna vitendo

Faida
•Engineering science ili somo tamu bana ila sijawahi jua kati ya Physics na ES lipi gumu zaidi madude ya Projectile, angular motion unayapiga ukiwa three tu
• wananolewa vijana ambao wanaenda kuwa wasumbufu sana huko special Advance mfano Cloud Kitumbika pale Tabora school no 3 TO 2020, Edward Lowassa aliwasumbua sana Ilboru na kuwa top ten kitaifa miaka ya 2020
•wanazalishwa maEngineer waliopure sana wakipita Tech

tupia unalolijua kuhusu Technical schools
 
Ifunda Technical Secondary school
2022-08-11.png
 
Habari za kazi wana Jf, Tunajua kuna level nne za shule (secondary/Ordinal level) hapa kwetu Tanzania
1. Special (Vipaji maalumu)
2. Technical (Ufundi)
3. Boarding (Bweni kawaida)
4. Teule (shule za halmashauri )
5. Day (kata)

wale waliosoma shule za ufundi tujadili ubora na madhaifu yaliyokukuta/ulioyaona kwenye shule hizi (Iyunga, Ifunda, Mtwara Tech, Moshi Tech, Tanga Tech, Musoma Tech na Bwiru Tech zimeongezeka mwadui na chato Tech)
changamoto
• ufundi mnasomea darasani tu hakuna vitendo

Faida
•Engineering science ili somo tamu bana ila sijawahi jua kati ya Physics na ES lipi gumu zaidi madude ya Projectile, angular motion unayapiga ukiwa three tu
• wananolewa vijana ambao wanaenda kuwa wasumbufu sana huko special Advance mfano Cloud Kitumbika pale Tabora school no 3 TO 2020
•wanazalishwa maEngineer waliopure sana wakipita Tech

tupia unalolijua kuhusu Technical schools
We jamaa bila shaka umesoma Iyunga o level 2012-15
 
Ifunda tech moja hiyo,sema sahizi wameikarabati inavutia kinoma.

Changamoto lilikuwa liticha linaitwa mwakalago,yani ticha kama upo humu nakumind mpaka leo.Ulikuwa mnoko kichizi
Bongo ukiwa umenyooka hutaki konakona unaitwa mnoko after all hizi tech schools naona zilikuwa zamani sahvi hamna kitu hawa vijana wa tech nilikiwa nawaona vipanga ila advance weupe sana tu watoto wa kata tumejipigia tu.
 
Bongo ukiwa umenyooka hutaki konakona unaitwa mnoko after all hiz tecj school naona zilikuwa zamani sahvi hamna kitu hawa vijana wa tech nilikiwa nawaona vipanga ila advance weupe sana tu watoto wa kata tumejipigia tu.
hio inategemea na mtu mkuu wengine kweli tuko shallow ila wengine wako vizuri bru
 
hio inategemea na mtu mkuu wengine kweli tuko shallow ila wengine wako vizuri bru
Unakutana na mtu katoka tech anakuletea swali mpka unajiuliza mara mbili mbili huyu jamaa yupo serious na shule ila unaambiwa darasa la saba alipiga marks kibao kwenda pale.

Mnakumbwaga na nini vipanga wetu wa darasa la saba
 
kujisahau wengine wakienda huko hawasomi kabisa wengine wanapangiwa kwa mchongo tu
 
Back
Top Bottom