MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
I was luck enough to get both,unapigwa theory then unapewa zana za vita mpk ucku wa manane huondoki mpk practical ifanye kazi trust me imenisaidia sn kimaishaKwa uzoefu wangu watu waliosoma vyuo vya ufundi diploma ukimuweka na PCM aliyeiva na kuzoea kukata nyanga huyu ndugu wa ufundi hawezi furukuta kwenye theory ,ni wazuri kwa practical ila ni wachovu sana kwenye hesabu,ila wanaweza sana kazi za maabara ,bahati mbaya elimu yetu ya juu module nyingi ni kumeza meza