Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

Nimefurahi sana chuo cha MUST kuanza kutoa ualimu wa masomo ya ufundi maana watatoa walimu vijana watakaoenda kubadirisha mambo mengi ambayo yalikua chini ya wazee. Tanga tech tulikua tunafundishwa architecture na mr Mgonja ambaye ana notes alizofundisha 70s, Necta walishavitoa kwenye mtaala [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Wamefanya vizuri sana.
 
Chato Technical Secondary School
IMG_20220102_094054_630.jpg
IMG_20220102_094043_587.jpg
 
Binafsi, shule za sekondari za ufundi hapa Tanzania ni zile tano tu na zilikuwa zina workshop kamilifu haswa. Hizi za baadaye sina imani nazo. Shule hizo tano ni hizi;
1. Ifunda Tech
2. Tanga Tech
3. Mtwara Tech
4. Mazengo
5. Moshi Tech

Nje ya hizo, ni mfano wa shule za ufundi
bwiru boys tech school yakitambo sana unaisahau
 
Back
Top Bottom