Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

Unakutana na mtu katoka tech anakuletea swali mpka unajiuliza mara mbili mbili huyu jamaa yupo serious na shule ila unaambiwa darasa la saba alipiga marks kibao kwenda pale.

Mnakumbwaga na nini vipanga wetu wa darasa la saba
Inferiority tuu hamna ukweli wowote kwasababu shule za tech wanafunzi wake wanajipambania kama shule za kata tu,special treatment ni kwamba wanasoma masomo ya ziada ya ufundi na pia hawalipi mchango wowote.
 
View attachment 2645253Mtwara Technical Secondary school
Naliona bweni langu la Jamhuri pale. Niliishi Cell D. Huo uwanja wa basketball upo karibu na town way pale Kwa Mbunge Kanjibai njia ya kuelekea Coast.

Miaka hiyo ilikuwa usafiri wa uhakika kwenda Mtwara ni meli tu. Barabara haikupitika kirahisi.

Mwalimu Mnelamwana alishawahi kunipa adhabu ya kung'oa visiki kule forest kama unaenda chuo Cha ualimu ufundi. Alifanya kurusha jiwe na kusema mwisho wa adhabu yako ni pale na ukimaliza adhabu uje kuripoti. Sikwenda kuripoti maana ilikuwa ni mtego wake kwani ukienda kuripoti huwa anakuja kukagua na kurusha Tena jiwe huku akisema mwisho wa adhabu yako sio hapa bali ni pale (anarusha jiwe upya).

All in all, hapa nilijifunza discipline kwenye maisha. Kwa sasa Mimi ni Civil Engineer.
 
hongera nahisi utakua the best sababu ya Technical drawing kuijua toka mdogo hivyo kuwatia vibao jamaa wa special na Private huko chuo (Engineering school)
 
Mnatumia vitabu vimetungwa enzi za mjerumani kina mambo mengi balaa.

mashine ticha kaificha tu inapigwa na vumbi tu ofisini, hamtumii.

Kuna ticha anaitwa mwakasege pale iyunga wa welding, yule wanafunzi wake alikuwa anawafundisha mpaka practical. Naamini wale jamaa wakitoka pale wanaweza kujiajili.
 
Baada ya hapa nilipita MTC (Kwa sasa ni MUST)pale Ikuti, Mbeya. Somo la mchoro alikunksumbua hadi Bachelor.
Yaani Ile elimu ya Mrusi (FTC) ilikuwa kisanga kweli. Ukitoboa wewe ni mtu na nusu.
Siku hizi shule imekuwa nyepesi sana. Ni rahisi kutoboa kuanzia Diploma Hadi Bachelor.
 
sahihi mwalimu yule alikuwa anajitahidi hata mwalimu mmoja alikuwa anaitwaga Mwakosya (amestaafu) alikua anawapigisha kazi ye ni Carpenter
 
Baada ya hapa nilipita MTC (Kwa sasa ni MUST)pale Ikuti, Mbeya. Somo la mchoro alikunksumbua hadi Bachelor.
Yaani Ile elimu ya Mrusi (FTC) ilikuwa kisanga kweli. Ukitoboa wewe ni mtu na nusu.
Siku hizi shule imekuwa nyepesi sana. Ni rahisi kutoboa kuanzia Diploma Hadi Bachelor.
hadi Masters au PHD
 
Back
Top Bottom