Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

I was luck enough to get both,unapigwa theory then unapewa zana za vita mpk ucku wa manane huondoki mpk practical ifanye kazi trust me imenisaidia sn kimaisha
 
Mimi ni miongoni mwa mazao ya shule za Ufundi... nilipigaga Iyunga miaka kadhaa nyuma hapo...

Nazikubali sana hizi shule...
Nilijifunza mambo mengi sana...

Na kwa sasa mimi Ni Engineer katika Taasisi fulani napiga kazi...

Big up sana kwa Technical Schools..

Hususani Iyunga Boys Technical Secondary School.. wenyewe tulikuwa tunaiita Eunger Large Complex Camp....🤝🤝
 
Partical ya Moshi Technical nipo hapa from KARUME 33.

Moto " KUTII, KUWAJIBUKA NA KUZIBUNI MBINU ZA KAZI"

Nimesoma Plumbing (CIVIL).
Engineering science ilinifanya niione Mechanics ya Advance ni nyepesi sana wakati wenzangu wanalia.
Dah...sikuwahi kuishi wala kuipenda Karume labda ni kwa sababu iko karibu na Zanzibar😂😂😂
Nimeishi Mkwawa 19 kisha Azimio 10 halafu Lumumba 14 na 202

Namkumbuka Malale, Koba, Mpande na wengineo😂😂😂
 
hongera nahisi utakua the best sababu ya Technical drawing kuijua toka mdogo hivyo kuwatia vibao jamaa wa special na Private huko chuo (Engineering school)

Hao ndio walimu sasa. Sio hawa tunaoshinda nao bar kila siku
 
Mje muitembelee shule shule yenu sasa
Sasa hivi madogo wanakula practical za kutosha.
 
IYUNGA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL
Your browser is not able to display this video.
 
Mwakasege a.k.a Kyege.
 
Hakika... Mwakasege alikuwa mwalimu mzuri sana wa somo la Welding & Metal Fabrication...
Na pia mtalaam kwelikweli wa mpira wa Kikapu... Iyunga was best kwenye kikapu...

Kuna jamaa zangu waliiva sana kwenye kikapu, mpaka timu za hapa Dar niliwahi kuwaona kipindi fulani wakikimbiza kikapu...
 
Musoma technical hiyo!.. Bweni urafiki na chemba ni lunduno!.. Kuna ticha alikua mkuda sana wakuitwa "kutiki" bila kumsahau "mnyeti"!.. Ukiwa na kosa kwa hao wakuda na ukifikishwa kwa kilonda ni UMEISHAAAA
 
Musoma technical hiyo!.. Bweni urafiki na chemba ni lunduno!.. Kuna ticha alikua mkuda sana wakuitwa "kutiki" bila kumsahau "mnyeti"!.. Ukiwa na kosa kwa hao wakuda na ukifikishwa kwa kilonda ni UMEISHAAAA
Hawakosagi hao kila shule wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…