Waliotaka kumchezea Rais Samia kama Bibi yao wameufyata. Rais kamatia hapo hapo

Waliotaka kumchezea Rais Samia kama Bibi yao wameufyata. Rais kamatia hapo hapo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Binafsi nimefurahi sana jinsi Rais Samia ameamua kuwanyoosha waliotaka Kumchezea na kumdhihaki toka Mwanzo wa utawala wake.

Mara kadhaa nilitoa maoni yangu kwamba Rais asikubali kuchezewa maana mtu mweusi hajui maana ya ustaarabu Huwa wanaenda kwa mijeledi na bakora nadhani sasa wameelewa.

Mara nyingi sana wakiambiwa wasitumie uhuru wao vibaya kumdhihaki Rais na kumtukana badala yake wajenge constructive criticism ila wakaona hakuna kitu.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1691158828430118912?t=EuMmam_ESfauwcHmgGdBmA&s=19

My Take:
My Rais wavutie kamba zaidi Bado wapo Baadhi yao huko Twitter, Afrika inaenda kwa mijeredi bila hivyo mtu mweusi huwa haelewi, wananchi wako busy na kuchapa kazi hakuna mtu ataacha kazi eti ahangaike na hao wapuuzi.
 
Issa Shivji kakosoa na kupinga Kwa adabu...hatakamatwa..
Mnyika kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa..
Mbowe kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa...

Padri Slaa na wenzie wanajua kabisa mistari waliyovuka....waacheni wapate wanachostahili
Rais alisema Toka day one watu wapinge na wakosoe Serikali utajifunza ila Kuna wajuaji wachache wakajifanya wao ni miamba,wanasahau kwamba Rais ameapa kulinda amani ya Nchi hii hakuna mtu atakubali amani iharibike Kwa wapuuzi wachache , washughulikiwe.
 
Nilimlaani sana Magufuli kww autocratic leadership yake ila kumbe alikuwa sahihi. Mtu mweusi bila mikwaju haendi. Hawezi ustaarabu.
Binafsi nilikuwa namlaani Kwa kuleta hiyo autocratic kwenye uchumi ila kwenye siasa nilikuwa nae Kwa sababu mtu mweusi ukimchekea utaharibikiwa Bado hana viwango vya ustaarabu.

Angalia kuanzia Rwanda, Egypt, Senegal walikofita Vyama vyao vya kihuni,West Africa,Uganda,North Africa nk kote huko wanapelekewa moto ila Marais hawaleti hizo mambo kwenye uchumi.

Tunisia Rais alifutilia mbali kuanzia Bunge Hadi Wapinzani uchwara yaani inaitwa China model.
 
Issa Shivji kakosoa na kupinga Kwa adabu...hatakamatwa..
Mnyika kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa..
Mbowe kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa...

Padri Slaa na wenzie wanajua kabisa mistari waliyovuka....waacheni wapate wanachostahili
Wewe jamaa utakuwa umesogea karibu na sega la asali siku hizi. Huwezi kuwa hivi burebure tu.
 
Issa Shivji kakosoa na kupinga Kwa adabu...hatakamatwa..
Mnyika kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa..
Mbowe kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa...

Padri Slaa na wenzie wanajua kabisa mistari waliyovuka....waacheni wapate wanachostahili
Wewe sheikh Twambie Slaa Kavuka wapi?
 
Back
Top Bottom