Waliotaka kumchezea Rais Samia kama Bibi yao wameufyata. Rais kamatia hapo hapo

Chato tupo sana, Wewe unataka Uende uje lini na nani🤣
Unalala na kuamka na hofu ya chato 😂😂😂
Wewe sema lini una muda nikupitie twende. Swala la gharama zote namaanisha zoote nitacover mimi
 
Binafsi nimefurahi sana jinsi Rais Samia ameamua kuwanyoosha waliotaka Kumchezea na kumdhihaki toka Mwanzo wa utawala wake.

Mara kadhaa nilitoa maoni ya yangu kwamba Rais asikubali kuchezewa maana mtu mweusi hajui maana ya ustaarabu Huwa wanaenda kwa mijeledi na bakora nadhani sasa wameelewa.

Mara nyingi sana wakiambiwa wasitumie uhuru wao vibaya kumdhihaki Rais na kumtukana badala yake wajenge constructive criticism ila wakaona hakuna kitu.

My Take:
My Rais wavutie kamba zaidi Bado wapo Baadhi yao huko Twitter, Afrika inaenda kwa mijeredi bila hivyo mtu mweusi huwa haelewi, wananchi wako busy na kuchapa kazi hakuna mtu ataacha kazi eti ahangaike na hao wapuuzi.
Hata Mwalimu Kambarage Nyerere,hakuwachekea wanaotaka kuvunja amani,hata wenzake aliodai nao uhuru,walipotaka kuvunja amani hakuwachekea.
 
Pumbav kbs! Nyie ndio wapotoshaji kbs hakuna mtanzania anaepinga maendeleo. Hoja zao zipo waz dhidi ya vifungu kweny mkataba!! Pepopunda wewe!!
Hoja zipi? Nakuuliza tena Rais auze Bandari Ili iwaje?

Na akiuza Bandari ambayo inaipa Serikali mapato ya 70% Serikali itajiendeshaje Sasa?

Toa upumbavu wako hapa
Screenshot_20230815-080916.jpg
 
Rais alisema Toka day one watu wapinge na wakosoe Serikali utajifunza ila Kuna wajuaji wachache wakajifanya wao ni miamba,wanasahau kwamba Rais ameapa kulinda amani ya Nchi hii hakuna mtu atakubali amani iharibike Kwa wapuuzi wachache , washughulikiwe.
Hata Mwalimu Nyererere hakuwachekea wanaotaka kuvuruga amani.
 
Wakati huo huo, hoja zijibiwe....

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Issa Shivji kakosoa na kupinga Kwa adabu...hatakamatwa..
Mnyika kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa..
Mbowe kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa...

Padri Slaa na wenzie wanajua kabisa mistari waliyovuka....waacheni wapate wanachostahili
Hivi kwani we jamaa ndio wewe ninaekufahamu miaka yote au kuna ugonjwa gani umekupata? Kwamba hoja na kiini cha ukosoaji hukizungumzii, bali unazungumzia ‘mannerism’ ya ukosoaji, what happened to all logical reasoning, umerogwa?
 
Unazidi kudhihirisha ulivyokuwa hujitambui..! Sasa wewe ulivyoropoka ndio unaona vina mantiki..? Jifunze kukaa kimya kama huna cha kuchangia au ku post .
 
Tatizo lenu ni unafiki, enzi za Jiwe milipinga na kumuita dikteta kwa mambo madogo zaidi ya haya ya kukamatana kwa kesi za kutengeneza.
Huyo unayemwita jiwe huwezi kulinganisha na Samia.Yule alitumia mamlaka yake kuwafanyia ujambazi raia.Huyu mama ampatia kila mmoja anachostahiki.Mchochezi kwa uchochezi wake.Na bado ni mstahamilivu sana. Wamefanya mpaka wakaanza kupata ununda ndipo wameshughulikiwa.Enzi za jiwe baadhi yao wangepatikana kwenye viroba.
 
Hoja zipi? Nakuuliza tena Rais auze Bandari Ili iwaje?

Na akiuza Bandari ambayo inaipa Serikali mapato ya 70% Serikali itajiendeshaje Sasa?

Toa upumbavu wako hapa View attachment 2717735
Narudia tena... Hakuna mtanzania anaepinga maendeleo ya Nchi!! Acheni upotoshaji kisa mnalipwa kupush agenda. Wanaopinga wote facts zao zipo waz kwann wanapinga, issue ya kauli ya kuuza yawezekana unajua au hujui kauli hiyo imekuja kwa concept gan.
 
Bro hujitambui ujue. Issue sio DP world ufanya kazi Tanzania. Issue ni mnakubaliana nini..? Angalia mikataba mingapia wameingia na nchi zimefungua kesi waondoke maana wananyonywa..! Issue ni mikataba. Sasa wewe una google tuu na ku post. Bro au sijui binti kaa kimyaa. Hujitambui...!
 
Wakati huo huo, hoja zijibiwe....

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Peleka hoja hizi Polisi makao makuu,majibu utapewa.Wewe wauliza huku umejificha.
 
Binafsi nimefurahi sana jinsi Rais Samia ameamua kuwanyoosha waliotaka Kumchezea na kumdhihaki toka Mwanzo wa utawala wake.

Mara kadhaa nilitoa maoni yangu kwamba Rais asikubali kuchezewa maana mtu mweusi hajui maana ya ustaarabu Huwa wanaenda kwa mijeledi na bakora nadhani sasa wameelewa.

Mara nyingi sana wakiambiwa wasitumie uhuru wao vibaya kumdhihaki Rais na kumtukana badala yake wajenge constructive criticism ila wakaona hakuna kitu.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1691158828430118912?t=EuMmam_ESfauwcHmgGdBmA&s=19

My Take:
My Rais wavutie kamba zaidi Bado wapo Baadhi yao huko Twitter, Afrika inaenda kwa mijeredi bila hivyo mtu mweusi huwa haelewi, wananchi wako busy na kuchapa kazi hakuna mtu ataacha kazi eti ahangaike na hao wapuuzi.

That means bila geshi hamtoboi!!
 
Back
Top Bottom