Waliotaka kumchezea Rais Samia kama Bibi yao wameufyata. Rais kamatia hapo hapo

Waliotaka kumchezea Rais Samia kama Bibi yao wameufyata. Rais kamatia hapo hapo

Binafsi nilikuwa namlaani Kwa kuleta hiyo autocratic kwenye uchumi ila kwenye siasa nilikuwa nae Kwa sababu mtu mweusi ukimchekea utaharibikiwa Bado hana viwango vya ustaarabu.

Angalia kuanzia Rwanda, Egypt, Senegal walikofita Vyama vyao vya kihuni,West Africa,Uganda,North Africa nk kote huko wanapelekewa moto ila Marais hawaleti hizo mambo kwenye uchumi.

Tunisia Rais alifutilia mbali kuanzia Bunge Hadi Wapinzani uchwara yaani inaitwa China model.
Makuwadi ya warabu yamechanganyikiwa baada ya kushindwa hoja yanafikir kukamata watu ni solution tena kama hamjui nyie makuwadi ya makuwadi ya warabu ni kwamba jiandaeni kumsindikiza mamayenu kibanda maiti maana 2025 hana chake atake asitake na nyie kimbulu wake mtakimbilia burundi.
 
kwamba wewe unajua ndoto zangu mpaka useme nitaishia kuota, wewe endelea kupiga ukuwadi wa warabu badae wakubebe ukawape masaburi dubai wakunyooshe labda ukirudi akili zitakukaa sawa.
Utaishia kutukana nyuma ya key board tu. Ukiweza na wewe jitokeze ufanye uhaini ukamatwe uwekwe ndani.
 
Binafsi nimefurahi sana jinsi Rais Samia ameamua kuwanyoosha waliotaka Kumchezea na kumdhihaki toka Mwanzo wa utawala wake.

Mara kadhaa nilitoa maoni yangu kwamba Rais asikubali kuchezewa maana mtu mweusi hajui maana ya ustaarabu Huwa wanaenda kwa mijeledi na bakora nadhani sasa wameelewa.

Mara nyingi sana wakiambiwa wasitumie uhuru wao vibaya kumdhihaki Rais na kumtukana badala yake wajenge constructive criticism ila wakaona hakuna kitu.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1691158828430118912?t=EuMmam_ESfauwcHmgGdBmA&s=19

My Take:
My Rais wavutie kamba zaidi Bado wapo Baadhi yao huko Twitter, Afrika inaenda kwa mijeredi bila hivyo mtu mweusi huwa haelewi, wananchi wako busy na kuchapa kazi hakuna mtu ataacha kazi eti ahangaike na hao wapuuzi.

We Nyau nanii aliyefyata Mkia
 
Upendo mkubwa wenye source ya akili sio moyo,saikolojia ya mwanamke ni hatari

Ku enforce the law of nature ya kumtawala,mtoto ukijifanya hutaki kufuata kanuni za mm mtawala lala mbele( in magu' s voice)
Sinaga muda wa kubembeleza mwanamke

Wanawake wote akili zao ni zile zile awe mama,dada Mke shangazi msomi au hajasoma,kuwa nao Kwa akili na tahadhari,mtegemee Mungu.

Binafsi sijawahi muamini mtu anaitwa mwanamke

Wanawake ni kupe,kinachowafanya waolewe ni njaa zao mnatafuta kitonga.

Narudia tena Huwa siwekezi Kwa mwanamke hata siku Moja,mara elfu niwekeze kwenye pesa Ili yakinikuta nitatafuta hata mtu wa kuniuguza Kwa kumlipa.
Says a Misogynist bigoted and a racist twaat.
 
Uhuru una mipaka Urais ni Taasisi Usalama na Amani ya Nchi yoyote Inaweza kupotea kwa kauli na seku de moja acha wavune walichokipanda hakuna aliyeona Mkataba wa BANDARI wanaopinga ni wale wenye maslahi siwezi muamini eti vyombo vyote vya Ulinzi na the state wawe mifukoni mwa Samia haya tuliyaona kipindi Cha JPM tuliaminishwa ujinga na hao hao wapumbavu leo Watu walewale wanausifu mradi wa Umeme pale Rufiji.
Mwabukusi kaingizwa chaka,Slaa na Mdude ni takataka tu sihitaji reference zao wenye akili wananielewa.
Mama piga kazi🇹🇿
 
Binafsi nimefurahi sana jinsi Rais Samia ameamua kuwanyoosha waliotaka Kumchezea na kumdhihaki toka Mwanzo wa utawala wake.

Mara kadhaa nilitoa maoni yangu kwamba Rais asikubali kuchezewa maana mtu mweusi hajui maana ya ustaarabu Huwa wanaenda kwa mijeledi na bakora nadhani sasa wameelewa.

Mara nyingi sana wakiambiwa wasitumie uhuru wao vibaya kumdhihaki Rais na kumtukana badala yake wajenge constructive criticism ila wakaona hakuna kitu.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1691158828430118912?t=EuMmam_ESfauwcHmgGdBmA&s=19

My Take:
My Rais wavutie kamba zaidi Bado wapo Baadhi yao huko Twitter, Afrika inaenda kwa mijeredi bila hivyo mtu mweusi huwa haelewi, wananchi wako busy na kuchapa kazi hakuna mtu ataacha kazi eti ahangaike na hao wapuuzi.

Utakamatika wewe na uchawa wako wa kipuuzi. Mtu mzima Chawa duh!
 
Utaishia kutukana nyuma ya key board tu. Ukiweza na wewe jitokeze ufanye uhaini ukamatwe uwekwe ndani.
kama wewe ulivyo kwenye keyboard unavyojipa matumain kuwa kuna kesi ya uhain kumbe ni ujinga wako wa kutokujiendeleza kielimu ili upate maarifa, utaishi kukoment kuna uhain kumbe ni ujinga ulionao kichwani na wapuuz wenzio hapo lumumba, wenzio kina chongolo walijaribu kuzunguka nchi nzima kuhadaa watanzania walichokutana nacho ni aibu wakagundua ni bora kujikalia kwenye makorido ya lumumba na kula posho za hongo kutoka kwa warabu ili kuwapa bandari bure. Wewe ndio umebaki uhain uhain ujinga mzigo.
 
Huwezi kupanga kumpindua Tausi wetu halafu nikakuacha salama.

Babu lazima aning'inie kwenye kitanzi
 
Leo Tuna Furaha Tumempokea Ng'ombe Mariam Mjamzito Kama Zawadi Pia Atajifungua Muda Siyo Na Atatoa Litres 20
 
Issa Shivji kakosoa na kupinga Kwa adabu...hatakamatwa.

Mnyika kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa.

Mbowe kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa.

Padri Slaa na wenzie wanajua kabisa mistari waliyovuka.... waacheni wapate wanachostahili
Wale walishakula hela za vibaraka wao ,ndo maana kelele zisizo na staha zilikuwa nyingi sana
 
Wale walishakula hela za vibaraka wao ,ndo maana kelele zisizo na staha zilikuwa nyingi sana
Na nyie makuwadi ya dpworld amewapa ngapi na mamayenu ili myapambanie hayo marabu koko dpworld.
Angalau mamayenu samia tunajua amepewa ngapi tunavuta muda ili tumuaibishe kwa kuweka kiasi na account ya bank ziliko huko dubai.
 
Issa Shivji kakosoa na kupinga Kwa adabu...hatakamatwa.

Mnyika kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa.

Mbowe kakosoa na kupinga Kwa adabu hatakamatwa.

Padri Slaa na wenzie wanajua kabisa mistari waliyovuka.... waacheni wapate wanachostahili
Wamemparura,padre alidhani yupo juu ya sheria
 
Tausi wangu apinduliwe na Slaa namimi Imhotep ati nimekaa tu naangalia, la hasha ningelikoki gobole langu na kumfuata hadi karatu sijui angeingia wapi?
 
Unafiki utawaua. Juzi mlimuita Mbowe gaidi, Leo mnamuita slaa mhaini. Mnapenda kukuza mambo yasiyokuwepo.
 
Binafsi nimefurahi sana jinsi Rais Samia ameamua kuwanyoosha waliotaka Kumchezea na kumdhihaki toka Mwanzo wa utawala wake.

Mara kadhaa nilitoa maoni yangu kwamba Rais asikubali kuchezewa maana mtu mweusi hajui maana ya ustaarabu Huwa wanaenda kwa mijeledi na bakora nadhani sasa wameelewa.

Mara nyingi sana wakiambiwa wasitumie uhuru wao vibaya kumdhihaki Rais na kumtukana badala yake wajenge constructive criticism ila wakaona hakuna kitu.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1691158828430118912?t=EuMmam_ESfauwcHmgGdBmA&s=19

My Take:
My Rais wavutie kamba zaidi Bado wapo Baadhi yao huko Twitter, Afrika inaenda kwa mijeredi bila hivyo mtu mweusi huwa haelewi, wananchi wako busy na kuchapa kazi hakuna mtu ataacha kazi eti ahangaike na hao wapuuzi.

Linda matako hayo ukunguni utakuumiza
 
Back
Top Bottom