chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
MANENO YAKE YANA TOFAUTIANA NA YA MKATABA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba unajaribu kumfanya Mungu jirani Yako?Endelea kumshauri akamatie hapo hapo. Mungu naye atakamata moyo wake
shivji wapi alitukana? utamlinganisha na huyo zuzu mwambukusi au hicho ki mdude?Mbona Wengi tuu wanasema ukweli Kwa nini hao tuu? Kina Shivji,Butiku Hadi Mkuu wa Mkoa wa Moro umeona wamezinguliwa?
Tofautisheni kudhalilisha mamlaka Kwa kuhamasisha uhaini na kukosoa Kwa ukweli
Binafsi nimefurahi sana jinsi Rais Samia ameamua kuwanyoosha waliotaka Kumchezea na kumdhihaki toka Mwanzo wa utawala wake.
Mara kadhaa nilitoa maoni yangu kwamba Rais asikubali kuchezewa maana mtu mweusi hajui maana ya ustaarabu Huwa wanaenda kwa mijeledi na bakora nadhani sasa wameelewa.
Mara nyingi sana wakiambiwa wasitumie uhuru wao vibaya kumdhihaki Rais na kumtukana badala yake wajenge constructive criticism ila wakaona hakuna kitu.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1691158828430118912?t=EuMmam_ESfauwcHmgGdBmA&s=19
My Take:
My Rais wavutie kamba zaidi Bado wapo Baadhi yao huko Twitter, Afrika inaenda kwa mijeredi bila hivyo mtu mweusi huwa haelewi, wananchi wako busy na kuchapa kazi hakuna mtu ataacha kazi eti ahangaike na hao wapuuzi.
Kwani amekamatwa? Si yupo anaendelea na maisha ila hao wengine Sasa waliotaka kufanya uhaini ndio washughulikiweshivji wapi alitukana? utamlinganisha na huyo zuzu mwambukusi au hicho ki mdude?
safi sana nhiyo ndiyo dawa yao hata hapa wanasytahili hivyo wapuuzi wamoja hawaUhuru wa maoni kwa maana yao ni kumtukana rais kadri wanavyojisikia na sio zaidi ya hapo.
Madonna alidhani umaarufu wake utamsaidia akamdhihaki Donald Trump katika mkutano mmoja wa kudai haki ya wanawake, CIA na vyombo vya dola vya Marekani vikamwambia afute kauli yake na akaifuta mara moja.
Majuzi serikali ya Biden imemuua mwanaharakati mmoja mwenye sera za wazungu wenye siasa kali, baada ya huyo jamaa kusema kuwa atamuua rais Biden iwapo atakwenda kwenye mji wake. FBI wakamuwahi yeye mapema.
Rais ni taasisi na lazima iheshimiwe, sio mtu mmoja anayeonakana akihutubia mbele ya kamera za runinga.
Binafsi nimefurahi sana jinsi Rais Samia ameamua kuwanyoosha waliotaka Kumchezea na kumdhihaki toka Mwanzo wa utawala wake.
Mara kadhaa nilitoa maoni yangu kwamba Rais asikubali kuchezewa maana mtu mweusi hajui maana ya ustaarabu Huwa wanaenda kwa mijeledi na bakora nadhani sasa wameelewa.
Mara nyingi sana wakiambiwa wasitumie uhuru wao vibaya kumdhihaki Rais na kumtukana badala yake wajenge constructive criticism ila wakaona hakuna kitu.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1691158828430118912?t=EuMmam_ESfauwcHmgGdBmA&s=19
My Take:
My Rais wavutie kamba zaidi Bado wapo Baadhi yao huko Twitter, Afrika inaenda kwa mijeredi bila hivyo mtu mweusi huwa haelewi, wananchi wako busy na kuchapa kazi hakuna mtu ataacha kazi eti ahangaike na hao wapuuzi.
Binafsi nimefurahi sana jinsi Rais Samia ameamua kuwanyoosha waliotaka Kumchezea na kumdhihaki toka Mwanzo wa utawala wake.
Mara kadhaa nilitoa maoni yangu kwamba Rais asikubali kuchezewa maana mtu mweusi hajui maana ya ustaarabu Huwa wanaenda kwa mijeledi na bakora nadhani sasa wameelewa.
Mara nyingi sana wakiambiwa wasitumie uhuru wao vibaya kumdhihaki Rais na kumtukana badala yake wajenge constructive criticism ila wakaona hakuna kitu.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1691158828430118912?t=EuMmam_ESfauwcHmgGdBmA&s=19
My Take:
My Rais wavutie kamba zaidi Bado wapo Baadhi yao huko Twitter, Afrika inaenda kwa mijeredi bila hivyo mtu mweusi huwa haelewi, wananchi wako busy na kuchapa kazi hakuna mtu ataacha kazi eti ahangaike na hao wapuuzi.
Mbona amedharirishwa akili matope na hakuna kilichofanyika, unafikir wewe kuwadi la warabu na huyo mamako mnaweza kusumbua watu by the way hata kipindi cha wakolon makuwadi yalikuwepo yaliyofahamika kama vibaraka au mapuppets lakin pamoja na uwepo wa mapeppets wakolon waliondoka sembuse wewe nguruwe keyboard jubilant wa marabu.Toka hadharani kamdhalilishe tena uone
makuwadi ya warabu jiandaen 2025 kumsindikiza mamayenu kibandamaiti na nyie mkimbilie burundi maana msipofanya hivyo mtakijua kisasi kilivyo.Nilimlaani sana Magufuli kwa autocratic leadership yake ila kumbe alikuwa sahihi. Mtu mweusi bila mikwaju haendi. Hawezi ustaarabu.
makuwadi ya warabu mwambieni mamayenu arudishe hela ya hongo aliyopewa na hao warabu tofauti na hapo anajichosha tu kukamata watu na kesi za kipuuz na kijinga ambazo washangiliaji wake ni nguruwe wake pekee.😂😂😂😂😀😀 Hakuna Cha mgao, kwani saizi mnapata mgao wa Bandari?
mjinga ni wewe ambaye hujui kama mamako anaenda kukopa umoja wa mataifa ndio maana huwa tunasema ccm imefuga kimbulu lumumba bila kujijua.Huu ujinga peleka Ufipa huko ,eti umoja wa Mataifa 😆😆😆😆😆
labuda mama mamako ataendesha kitubia.Kwenda wapi? Labda kama wametubu
Utaishia kuotamakuwadi ya warabu jiandaen 2025 kumsindikiza mamayenu kibandamaiti na nyie mkimbilie burundi maana msipofanya hivyo mtakijua kisasi kilivyo.
Ushawishi na weledi unaupima wewe na nguruwe wenzio hapo lumumba na makuwadi ya warabu koko dpworld, nenda na wewe havard university kama unazo sifa na mkwanja wa kwenda huko, utabaki lumumba mpaka uzee wako wote.Bado yule Dr anayeidhalilisha Harvard Law School. Harvard haina sifa ya kutoa wajinga. Ina sifa ya kutoa watu wenye impact duniani. Wanakosoa kwa kutumia ueledi na ushawishi wa hali ya juu. Sielewi huyu dr wetu anakwama wapi.