Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Polisi ndo wanifateNenda Polisi,kajieleze.Usijifiche nyuma ya keabord.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi ndo wanifateNenda Polisi,kajieleze.Usijifiche nyuma ya keabord.
Aliyetuletea Mama Samia Kipenzi cha watanzania, Muheshimiwa sana Magufuli,wewe utaumia bure.Fanya kazi,acha uvivu.Watu wavivu kwa kulalamika hamuwezekani.Huo ni mtazamo wako, huna ushahidi wa huo ujambazi ni blah blah blah tu. Jiwe asingeuza au kugawa bandari bure. Nenda mtaani ulisha wananchi kati ha Jiwe na Samia yupi bora? Utapata jibu lako.
Unafanya wewe ni mahaba, Samia hakosei na usio wapenda hata wakipatia wanakuwa wamekosea. Huu kwa kifupi ni unafiki wa kiwango cha juu kabisa.
Huo ni uchochezi na upotoshaji.Haiwezekani hilo likawepo.7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Binafsi nimefurahi sana jinsi Rais Samia ameamua kuwanyoosha waliotaka Kumchezea na kumdhihaki toka Mwanzo wa utawala wake.
Mara kadhaa nilitoa maoni yangu kwamba Rais asikubali kuchezewa maana mtu mweusi hajui maana ya ustaarabu Huwa wanaenda kwa mijeledi na bakora nadhani sasa wameelewa.
Mara nyingi sana wakiambiwa wasitumie uhuru wao vibaya kumdhihaki Rais na kumtukana badala yake wajenge constructive criticism ila wakaona hakuna kitu.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1691158828430118912?t=EuMmam_ESfauwcHmgGdBmA&s=19
My Take:
My Rais wavutie kamba zaidi Bado wapo Baadhi yao huko Twitter, Afrika inaenda kwa mijeredi bila hivyo mtu mweusi huwa haelewi, wananchi wako busy na kuchapa kazi hakuna mtu ataacha kazi eti ahangaike na hao wapuuzi.
Ukiingia mitaa ya Usukumu Chato na kule kwa dkt Slaa utawapata hao wasiompenda Samia.Kwengine si rahisi.Huo ni mtazamo wako, huna ushahidi wa huo ujambazi ni blah blah blah tu. Jiwe asingeuza au kugawa bandari bure. Nenda mtaani uliza wananchi wa kawaida, kati ya Jiwe na Samia yupi bora? Utapata jibu lako.
Unachofanya wewe ni mahaba, Samia Mangungo hakosea kabisa, ni malaika flani hivi kibongo mfupi, na usio wapenda hata wakipatia wanakuwa wamekosea. Huu kwa kifupi ni unafiki wa kiwango cha juu kabisa.
Mkataba umeleta ‘implication’ hiyo, wewe unabisha kama nani na mkataba umeshasainiwa?Wakati huo huo, hoja zijibiwe....
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Huo ni uchochezi na upotoshaji.Haiwezekani hilo likawepo.
Kwani polisi ndio wamesaini mkataba?Peleka hoja hizi Polisi makao makuu,majibu utapewa.Wewe wauliza huku umejificha.
Wakati huo huo, hoja zijibiwe....
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Huo ni uchochezi na upotoshaji.Haiwezekani hilo likawepo.
Binafsi nimefurahi sana jinsi Rais Samia ameamua kuwanyoosha waliotaka Kumchezea na kumdhihaki toka Mwanzo wa utawala wake.
Mara kadhaa nilitoa maoni yangu kwamba Rais asikubali kuchezewa maana mtu mweusi hajui maana ya ustaarabu Huwa wanaenda kwa mijeledi na bakora nadhani sasa wameelewa.
Mara nyingi sana wakiambiwa wasitumie uhuru wao vibaya kumdhihaki Rais na kumtukana badala yake wajenge constructive criticism ila wakaona hakuna kitu.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1691158828430118912?t=EuMmam_ESfauwcHmgGdBmA&s=19
My Take:
My Rais wavutie kamba zaidi Bado wapo Baadhi yao huko Twitter, Afrika inaenda kwa mijeredi bila hivyo mtu mweusi huwa haelewi, wananchi wako busy na kuchapa kazi hakuna mtu ataacha kazi eti ahangaike na hao wapuuzi.
No wonder ndio maana serikali haishindi case mahakamani hahahahahahahaMtoa Siri za serikali Kwa kutumia nafasi yake ya Ubalozi
Nenda zako .Kumbe unazungumzia implication. Huo ni uoni wa kijinga.Mkataba umeleta ‘implication’ hiyo, wewe unabisha kama nani na mkataba umeshasainiwa?
Kweli aisee Hawa watu wa kupoteza huko sio waaminifu huyu hata Kanisa lilimshindaNo wonder ndio maana serikali haishindi case mahakamani hahahahahahaha
Havitatokea TanzaniaMtoa Mada nenda kajifunze na utueleze kwa nini DP world ndio wanakuwa wakwanza ufungua case wakiona mnataa watoke baada ya kutofikia malengo kwa nchi husika. Issue sio uwekezaji, issue ni mkataba mkiingia kichwa kichwa ndio yanakuja haya. Na ndio watu wanauliza na kupaza sauti.
Here is a list of the latest 10 cases versus DP World in
international arbitration court:
1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of
Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by
DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Kenya.
2. DP World v. Ethiopia (2022). The ICSID is also currently hearing a
case brought by DP World against Ethiopia. DP World is seeking damages
for alleged breaches of contract and expropriation by Ethiopia.
3. DP World v. Djibouti (2021). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against Djibouti. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Djibouti.
4. DP World v. Pakistan (2020). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against Pakistan. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Pakistan.
5. DP World v. India (2019). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against India. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by India.
6. DP World v. Argentina (2018). The ICSID dismissed a case brought
by DP World against Argentina. DP World was seeking damages for
alleged breaches of contract and expropriation by Argentina.
7. DP World v. Chile (2017). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against Chile. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Chile.
8. DP World v. Uruguay (2016). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against Uruguay. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Uruguay.
9. DP World v. Peru (2015). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against Peru. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Peru.
10. DP World v. Brazil (2014). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against Brazil. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Brazil.
It is important to note that these are just a few of the many cases
that DP World has been involved in. DP World is a major player in
the global port industry, and it has been involved in a number of
disputes with governments around the world.
These disputes have often been complex and have involved significant
financial stakes.
The cases listed above are still ongoing, and it is not yet clear
how they will be resolved. However, they provide a glimpse into
the challenges that DP World faces as it operates in a number of
different countries.
Case😀P World Limited v. Kingdom of Belgium (ICSID Case No. ARB/17/21)
Case Details | ICSID
icsid.worldbank.org
Ku-‘imply’ ndio kusema kwenyewe huko, au tatizo lugha? Mtu anaposaini mkataba ambao hausemi utaisha lini, na hausemi anapewa kwa gharama gani ya pesa, implication yake ni kwamba amegawa bire, au aumeuza ila pesa kachukua yeye kisiri siri, ku-‘imply’ ndio kisema kwenyewe hukoNenda zako .Kumbe unazungumzia implication. Huo ni uoni wa kijinga.
Binafsi nimefurahi sana jinsi Rais Samia ameamua kuwanyoosha waliotaka Kumchezea na kumdhihaki toka Mwanzo wa utawala wake.
Mara kadhaa nilitoa maoni yangu kwamba Rais asikubali kuchezewa maana mtu mweusi hajui maana ya ustaarabu Huwa wanaenda kwa mijeledi na bakora nadhani sasa wameelewa.
Mara nyingi sana wakiambiwa wasitumie uhuru wao vibaya kumdhihaki Rais na kumtukana badala yake wajenge constructive criticism ila wakaona hakuna kitu.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1691158828430118912?t=EuMmam_ESfauwcHmgGdBmA&s=19
My Take:
My Rais wavutie kamba zaidi Bado wapo Baadhi yao huko Twitter, Afrika inaenda kwa mijeredi bila hivyo mtu mweusi huwa haelewi, wananchi wako busy na kuchapa kazi hakuna mtu ataacha kazi eti ahangaike na hao wapuuzi.
We boya sisi tunampotoshaje? Acheni dharau Kwa Rais kisa ameamua kuwa muungwana.Mheshimiwa Rais wetu ametoa tamko jema sana!! Tatizo ni nyie mbwa koko mnaompotosha ili matumbo yenu yajae.
Mama anakwenda vizuri na kama ataendelea kutowasikiliza nyie Mbwa koko Taifa letu atalivusha salama
Africa needs more Kagames and MagufulisNilimlaani sana Magufuli kwa autocratic leadership yake ila kumbe alikuwa sahihi. Mtu mweusi bila mikwaju haendi. Hawezi ustaarabu.
Ile ngozi ngumu alivua?Rais alisema Toka day one watu wapinge na wakosoe Serikali utajifunza ila Kuna wajuaji wachache wakajifanya wao ni miamba,wanasahau kwamba Rais ameapa kulinda amani ya Nchi hii hakuna mtu atakubali amani iharibike Kwa wapuuzi wachache , washughulikiwe.
Ina ukomo wa UgumuIle ngozi ngumu alivua?