Waliotaka kumchezea Rais Samia kama Bibi yao wameufyata. Rais kamatia hapo hapo

Keyboard warriors
 
bora akili hizo kuliko za nyie makuwadi ya warabu aka puppets au vibaraka wa warabu koko.
Shida yenu waarabu tu wala sio vipengele vya Mkataba. Na huo ni udhaifu wa akili zenu. Ila eleweni kuwa Dunia inahamia middle east, sasa mtaendelea kuumia sjui hadi lini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…