Waliotaka Rais Samia aachie kiti ili wao wapige kura kwanini wasishtakiwe kwa uhaini?

Thread yako akiisoma Mheshimiwa atafurahia sana
 
Kweli alinukuliwa vibaya..yeye alitaka mama atoke then azimio lipitishwe..Ila Sasa imeonekana vice versa
 
Hivi una akili timamu kweli au unatumia kichwa kama bakuli la kuhifadhia mate🧐
 
Umekula Maharage Ya Wapi ?, By Gwajima
 
atoke kwenda wapi?
Unafikir mfano wajumbe wamkatae waziwazi unataka wauwawe ndio. Maana wakaomba apishe maana akitoka TU nje ya ukumbi wa kikao anakua MUNGU kwa KATIBA ya Sasa..wajumbe walilijua hili ndio maana wakaomba apishe kidogo.

Mjumbe kwa Nia njema kabisa akapendekeza mama apishe kidogo wamjadili...

Kwanini mama anaogopa kupitishwa kwenye chujio?
 
mkuu haujui tunaenda second term? hujui utaratibu wa chama? 2nd term kuna chujio?
Yeye alimalizia awamu ya 5 usijifanye umesahau second term gan /ipi atoe nafasi apitishwe kwenye chujio ? Kufuatana na KATIBA ya CCM inavyo sema na kuelezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…