Mpaka leo anadai alipoona halipwi kaanza kudai katiba mpya.Prof. Lipumba sijui aliwahi kupokea malipo yake kwa kazi ya kuuwa upinzani!!
Napigia mstari mkuu!mama samia aweke mariziano lisu arudi nyumbani kwake visasi viishe inchi irudi kama zamani. na asimamie aliyokuwa anayahitaji raisi magufuli.
Makonnda na magobore yake...Wafuatao sijui watajisikiaje muda huu,walikuwa wakisubiri teuzi.
1. Dr Mashinji
2. Joshua Nasari
Na akina MakondaHapa unawasema wale Covid 19 waliapishwa Garage au sijakuelewa.