Waliouwa Oktoba 2025 walikwenda kuzima nyumba ya udongo kutumia gari ya maji ya zimamoto

Waliouwa Oktoba 2025 walikwenda kuzima nyumba ya udongo kutumia gari ya maji ya zimamoto

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
17,119
Reaction score
32,195
Unazima moto kuzuia moto usiharibu nyumba inayo waka na kuokoa mali zilizomo ndani.

Tatizo walisahau nyumba ya udongo ukimwagia maji mengi inaporomoka na kuta zake zinaharibika, zinaporomoka kabisa. Baadhi ya Mali zinaharibika pia.
Kuna wakati inaonekana afadhali uache nyumba iungue kisha moto ukizimika kuta zinabaki zimesimama. Mwenye mwenye nyumba anarudi kazini tena.
Hapo anapauwa tena nyumba anajipanga upya kimaisha.

Mwangi wa mahindi wa matukio ya MO29 umekuwa mkubwa mno. Unatingisha mabaki ya nyumba iliyo ungua. Unatishia kumalizia kilichobaki.

#Chattle_Effect, #AyubuNduguy_Effect, #Polepole_Effect, #MasiahNchimbili-Yuda_Effect , #Tundu_Effect.........---->
Imfikie britanicca , vipi huko nani anafuata hiyo orodha?
 
Back
Top Bottom