Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

Wabongo wengi wanapenda kujitekenya na kucheka wenyewe tu.

Hao watu wakiwa wanausalama, au wakiwa wauza madafu wa kawaida, hapo hamna habari.
Sioni cha kujadili kabisa hapo...
Hata humu wapo wa kutosha bado watahoji why wawepo?.
 
Kwa maisha ya sasa ya Kibongo Wauza Madafu ni among the top earners ukilinganisha na peasants wengine...

Kwahio Ukweli hayo ndio maisha yetu, tena bora muuza madafu anakula Profit yake huku pengine TRA unamlipa hata kabla haujaingiza hata senti; kama tungetaka uhalisia wa kada ya shughuli Bongo kwa sasa hapo wangeitwa Mission Town, Madalali, Vibaka na Jobless (Wapiga Mizinga) - Hio ndio TZ ya Sasa ya waagiza Magari ya Namba E
 
Sioni cha kujadili kabisa hapo...
Hata humu wapo wa kutosha bado watahoji why wawepo?.
Kwenye misiba ya Lowassa na Mwinyi nimegundua zaidi kwamba Watanzania wengi wanapenda siasa za uzushi na majungu.

Wanapenda sana siasa za maneno ya kuzusha ambayo hayana uthibitisho.

Wanapenda sana kufanya critiques dhidi ya uongozi, lakini hawana uwezo wa kufanya hivyo kwa hoja za kimantiki.

Mwishowe inakuwa wanaishia kwenye habari za kizushizushi, za kuunga unga.

Ndiyo utasikia uzushi kuwa Mwinyi aliacha wosia azikwe Mkuranga, lakini familia yake imemzika Zanzibar kisiasa, ukiuliza uthibitisho uko wapi, hakuna anayeweza kukupa.

Hizi habari ni muendelezo wa hizi habari za kuungaunga.

Yani Samia ana ma scandal kibao ya wazi wazi, rais wa nchi secular anawaasa wateule wake kwa somo la albadiri.

Wabongo wamekaa kimya tu, kama kitu cha kawaida.

Ila, picha ya wauza madafu inawatoa maneno kibao ya kuungaunga.

It is so sad.
 
Sioni shida wanavofanya
Shida ni kwa nini kwenye maigizo yao wanashindwa ku cover identity zao mpaka tukawatambua wanafanya makosa madogo madogo ambayo yanatoa hint kwa civilian
Kama walikosea waliotumwa wamuassassnate TL watakuwa hawa tena wameingia kitengoni hawana muda mrefuπŸ˜ƒ
Haya ndio mambo yanayodhihirisha ni kwa jinsi gani tumebebwa na maigizo na si uhalisia katika mambo mengi sana.
 
Wa OP usihangaike sana, kuna waliohitajika especially OP K baada ya kutoboa na mmoja wapo ndio huyo course mate wako. Hakuna raia wanaoweza kuwa karibu na rais hivyo achilia mbali hao wauza madafu wakiwa na visu au sime kwaajili ya kukata madafu. Najua unaelewa how security parameters set especially kwa no. 1
 
Fafanua zaidiπŸ™πŸ˜€
 
Ushahidi wa macho unatosha, maana hakuna case hapa,

Waliopanga move hizi duni, wafukuzwe KAZI haraka.
Ushahidi maana yake nini na ushahidi wa macho unaupata vipi na kuhakikisha ni ushahidi na si kasumba yako tu kuona unachotaka kuona?

Mtu akikusingizia wewe muuaji kwa ushahidi huo wa macho tu, uhukumiwe kunyongwa, wakati hujaua, utakubali kunyongwa kwa ushahidi huo wa macho?
 
Sawa ni muuza madafu
 
Acha umbeaaaaaaq
 
Kutawala ktk nchi za bara hili la Afrika au Tanzania ni kazi rahisi sana hata kama Mtawala mwenyewe uwezo wake ni mdogo kwa sababu watu wengi sana upeo wao wa kufikiri ni mdogo Sana. Most of the people just have a very short-sighted mind.
 
Chai
 
Kuna wale wengine eti Wananchi wamemuuzia Mwendazake mahindi anakula mara wanakunywa kahawa mara sijui wamemuuzia jogoo na maigizo mengine ya kipumbavu wajinga kama hayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wanyonge hapo walikuwa wanaona yule alikuwa Rais wa wanyonge anafanya mambo ya wanyonge 🀣🀣🀣🀣🀣

Ndio hayo ya madafu,Sasa jichanganye uone
 
Ndio unagundua Leo? 😁😁 Ongeza maigizo na upuuzi mwingine ila hawataki kabisa siasa za kutumia ukweli uhalisia akili au kuweka hoja zao kwenye masuala seriously.

Kinachompa Ugumu Samia kwenye siasa za Bongo ni hayo mambo,yey Kwa Asili sio wa hivyo,hata ungenwambia Mtanzania utamhakikishia mambo ya maana kwenye maisha yake ila kama hujaweka maigizo sijui kujifanya mchana Mungu na mazingaombwe mengine umeliwa.

Bashite anajua vizuri Sana hili ndio maana anawakamata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…