Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

Ujumbe: Mkome kuwadharau wauza madafu🤣😅😅
 
Mkuu wote waliopo humu jf una uhakika gani hawahusiki na haya mambo!!!!

Swali ni je kuna umuhimu gani mtu mmojakushika nafasi mbili kwenye igizo moja😁😁,inaondoa ladha ya mchezo.

Kama muuza madafu ni sangija maduhu,basi abakie na chaka lake la madafu,tukimkuta anachunga mbuzi tukio jingine unakuwa ni upuuzi,linakuwa igizo lisilo na maana ila kwao na kwetu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…