Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

Hili tukio lingetakiwa li-develop stories nyingi lakini watu wameng'ang'ania usalama usalama. Mambo yafuatayo yangetakiwa yafuatiliwe na wasndisi wetu
1. Issue ya ajira wakati wa masomo. Vijana wengine wanabweteka na kugombana na serikali kwenye suala la 'boom'. Samwel ameshatuonyesha kuwa tunaweza kuwa na side hussle while in college
2. Recruiting vendors wa ikulu
3. Usalama wa Mh. Rais
4. Performance ya huyo kijana shuleni na mahusiano na wanafunzi wenzake
5. Wenzake wanaosoma nae wanasemaje kuhusu mahusiano yao? Kwani yupo mwaka wa ngapi?
6. Etc
 
Kwa taarifa yako Dotto Magari, Mwijaku, baba levo, juma lokole wote ni wana kitengo.
Waganga njaa tu hao, hamna kitengo hapo.Na kama ni wa kitengo basi Kitengo cha bongo ni useless kabisa. Dotto Magari mtoto chizi wa kinondoni kwa manyanya awe kitengo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Machizi wote unawaona mtaani ni wana usalama wako kazini.
 
Muulizwaji maswali anamaliza kwa kusema asante sana mheshimiwa neno hilo linazoeleka sana midomoni mwa watu ambao wana interact na waheshimiwa. Sisi kanyamba kunani tumezoea kuitana boss, kiongozi, mkuu n.k
Kama huyu kajamba kunani mwenzangu Maghayo kamaliza kulitumia dk mbili zilizo pita
 
hapo A2Z super market ni ghorofa juu yake ni kota za usalamaa wa taifa ...nyuma yake kuna ofisi ya mkuu wa usalama wa taifa pale uwanja wa basket

So hilo eneo ni eneo lina ma undercover kibao..... yaani posta nzima ...


Mimi kama mtaalam wa posta nasema hao sio wauuza madafu ni wazee wa kazi koz a2z kule juuu wamejaaa usalamaa

Jengo alijenga rostam aziz likawa refu sana wakasema juuu ziwe kota za usalamaa

Boss ashampoo hapa mtoto wa mjini
 
Ni mwendo wa maigizo tu wa hii serikali, hv bongo kwa ufukara wetu tuna muda wa kufanya maigizo!? Wa bongo 17milioni, wanaishi Chini ya buku mbili kwa siku, harafu kenge wanafanya sherehe na kucheka cheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…