kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kila mnoja ana drama nchi hii ufipa wana zao za kuji.........Kwahiyo hawatoki Mkuranga ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mnoja ana drama nchi hii ufipa wana zao za kuji.........Kwahiyo hawatoki Mkuranga ?
...to carry a spear on one hand and books on the other? That was in 1971 and I was in form I.Is it Possible by Henry R. Ole Kulet 🙌
Those were days...to carry a spear on one hand and books on the other? That was in 1971 and I was in form I.
Kwa taarifa yako Dotto Magari, Mwijaku, baba levo, juma lokole wote ni wana kitengo.Na NIT ni chuo cha watu wa kitengo, wengi wamepita huko.
Waganga njaa tu hao, hamna kitengo hapo.Na kama ni wa kitengo basi Kitengo cha bongo ni useless kabisa. Dotto Magari mtoto chizi wa kinondoni kwa manyanya awe kitengo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kwa taarifa yako Dotto Magari, Mwijaku, baba levo, juma lokole wote ni wana kitengo.
Machizi wote unawaona mtaani ni wana usalama wako kazini.Waganga njaa tu hao, hamna kitengo hapo.Na kama ni wa kitengo basi Kitengo cha bongo ni useless kabisa. Dotto Magari mtoto chizi wa kinondoni kwa manyanya awe kitengo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Karibu mkuu kawaida tuAsante kwa taarifa
Hata GENTAMYCINE ni mwana kitengo 🤣Kwa taarifa yako Dotto Magari, Mwijaku, baba levo, juma lokole wote ni wana kitengo.
Ni mwendo wa maigizo tu wa hii serikali, hv bongo kwa ufukara wetu tuna muda wa kufanya maigizo!? Wa bongo 17milioni, wanaishi Chini ya buku mbili kwa siku, harafu kenge wanafanya sherehe na kucheka chekaEmbu kujeni wasikieni ilikuwaje kuwaje hadi kuingia Ikulu.
Wengi wanasema ni Usalama.
===
Clouds wameongea na Samweli Vomboteka, mmoja wa kijana aliyeonekana kwenye hafla hiyo wakiwa na matenga ya madafu. Samweli amesema kijiwe chao ni kipo maeneo ya AtoZ supermarket karibu na Ocean Road, na madafu wanayatoa Kigamboni.
Walilipwa pesa kiasi gani?
Hakutaja kiasi cha pesa walichouza kwa dafu moja, ila Rais Samia aliwapa milioni kadhaa bila kutaja ni milioni ngapi hasa.
Walipataje mualiko?
Mh Magoti ndio aliwapitia akawaambia waandae mzigo na kuwaambia pa kupeleka na muda ulipofika walipeleka
Je, wana historia ya kufanya kazi serikalini?
Anasema hawajawahi kuajiriwa serikalini imekuwa bahati tu wakapata nafasi hiyo, akieleza yeye Logistic NIT mwaka wa 2 wakati mwenzake hasomi na kuuza madafu ndiyo shughuli yao kuu.
Mtaani wanasemaje?
Wanapewa hongera kwa kupata bahati kufika Ikulu na kupata nafasi kama hiyo kiujumla, baadhi wakitamani wangekuwa wanauza madafu na kuangukiwa na bahati kama hiyo.
Damu ya Ole Mushi Italian toka kaburini. Watch out.Kwani kupeleka madafu Kuna unyeti gan?
Wabongo mna akili za kibwege sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa taarifa yako Dotto Magari, Mwijaku, baba levo, juma lokole wote ni wana kitengo.