Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hao jamaa ni JAMAA hao......Cha kushangaza ni kwamba hadi wanafika Ikulu huko njiani walikopita hawakuuza hata dafu 1 yaani ! matenga yalikuwa yamejaa madafu !
Hao jamaa ni JAMAA hao......
Samahani kidogo kwamba mwanamke akijichanganya amekwisha? Ama nimejielekeza vibaya?Is it a coincidence kwamba wote ni wakakamavu? Hiyo fitness yao sio mchezo, ukijichanganya umekwisha.
Ndio uhuru wa habari, ndio maana wewe na wengine mko hapa......Who cares? Hivi ni vitu vya kujadili kweli?
Kama ni kweli Cha ajabu nini ? wengi waliomaliza JKT mbona hawana ajira hadi leo .ulitaka akae nyumbani bila kazi au shughuli ya kujipatia kipato? Mbona wako graduates wa vyuo vikuu kibao machinga na bodaboda na makonda wa mabasiya daladala na wapiga debe standi.za mabasi. .Ulitakaje labda wakiwa wanauza matunda au bodaboda au makonda au wapiga debe wawe wanajitambulisha kama graduates wa vyuo.vikuu au waliomaliza JKT au? Mjinga wewe.Riziki popote
Ndio uhuru wa habari, ndio maana wewe na wengine mko hapa......
Itoshe kusema wewe ni msengerema na kichwani huna kituKama ni kweli Cha ajabu nini ? wengi waliomaliza JKT mbona hawana ajira hadi leo .ulitaka akae nyumbani bila kazi au shughuli ya kujipatia kipato? Mbona wako graduates wa vyuo vikuu kibao machinga na bodaboda na makonda wa mabasiya daladala na wapiga debe standi.za mabasi. .Ulitakaje labda wakiwa wanauza matunda au bodaboda au makonda au wapiga debe wawe wanajitambulisha kama graduates wa vyuo.vikuu au waliomaliza JKT au? Mjinga wewe.Riziki popote
Huna akili wewe .Kwa hiyo mtu akimaliza JKT mtu akae nyumbani kama hajapata kazi alale tu nyumbani kisa kamaliza JKT na ajira hamna?
Hivi wewe kichwani zimo mpuuzi wewe? Kwa hiyo kama ajira hamna ulitaka akae awe omba omba barabarani kama mlemavu asitafute shughuli yeyote ya kumwingizia kipato?
Mkuu wewe ni yupi hapo na umewapata wapi kwa pamoja....?
Mtasababisha Watu wawataje hadi Majina yao na Ofisi watokazo za Kiidara kisha Muumbuke na Muwaharibie. Shauri zenu.....!!
Si useme tu unataka kusema unawajua? Kwani wewe kuna idara ambayo huijui? 😂Mtasababisha Watu wawataje hadi Majina yao na Ofisi watokazo za Kiidara kisha Muumbuke na Muwaharibie. Shauri zenu.....!!
Tunapoteza energy kwa vitu vya kijinga sana.Who cares? Hivi ni vitu vya kujadili kweli?
Jamaa anawajua watu wote.Si useme tu unataka kusema unawajua? Kwani wewe kuna idara ambayo huijui? 😂