Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

IMG_0280.jpeg
 
Ni ngumu Sana, kuaminisha uma kua hao, Ni wauza madafu.
1.Wanajiamini Hilo Swala kwa Raia sio Jambo Jepesi.(Over Confidence)
2.Kwa Tanzania kumtambua mtu Kama Ni Askari au Mtumishi wa Srk Ni Jambo Jepesi Sana.
3.Muonekano wao sio wa mtu anae za madafu, na ukitaka kulikua Hilo Tumia mda wako kuonana na wauza madafu.
 
Kama ni kweli Cha ajabu nini ? wengi waliomaliza JKT mbona hawana ajira hadi leo .ulitaka akae nyumbani bila kazi au shughuli ya kujipatia kipato? Mbona wako graduates wa vyuo vikuu kibao machinga na bodaboda na makonda wa mabasiya daladala na wapiga debe standi.za mabasi. .Ulitakaje labda wakiwa wanauza matunda au bodaboda au makonda au wapiga debe wawe wanajitambulisha kama graduates wa vyuo.vikuu au waliomaliza JKT au? Mjinga wewe.Riziki popote

Huna akili wewe .Kwa hiyo mtu akimaliza JKT mtu akae nyumbani kama hajapata kazi alale tu nyumbani kisa kamaliza JKT na ajira hamna?

Hivi wewe kichwani zimo mpuuzi wewe? Kwa hiyo kama ajira hamna ulitaka akae awe omba omba barabarani kama mlemavu asitafute shughuli yeyote ya kumwingizia kipato?
 
Itoshe kusema wewe ni msengerema na kichwani huna kitu
 
Watz, tunapoteza muda na vitu vya kijinga sana..vile vya msingii hatuna navyo muda.

Okay, let say ni usalama, so what?
Au sio usalama, so what??

Tuanze kudiscuss vitu vyenye tija jamni..

Pettu issues ndio zinapoteza muda sanaa,

Shida watu wameaminishwa Usalama ni kazi nzuri na yenye ufahari.

Kuna vitu vya kuzingumza ving sanaa
 
Back
Top Bottom