Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

Ni ngumu Sana, kuaminisha uma kua hao, Ni wauza madafu...
Tatizo lako hujielewi kuna muuza madafu namjua ana hadi gari na nyumba nzuri sana tu kigamboni la ukimkuta na baiskeli yake ya madafu huwezi amini.anaingiza laki tano kwa siku amejiwekea kwa siku auze madafu 500 ya elfu moja moja

Anao hao wauza madafu wenye baiskeli kumi kila moja anapewa madafu 50 na yeye 50 na baiskeli yake .kisha huwapa vituo vya kuuza City center wako watano na kariakoo watatu na kigamboni wawili kila dafu elfu moja jioni wanampa hesabu yake anawapa Chao.
Kwa mwezi anaingiza milioni 15 tax free

Kaa hapo hapo na ubwege wako ohhh muuza madafu hana lolote
Wewe na elimu yako unaingiza nini.lofa wewe mwenye pepo la umaskini
 
Aaah me nna watu usalama na ni stupid sana na wako corcle yangu ya ndani kabisa, anyways unataka tudiscuss nini ili hawa wakubwa wasikilixe kwa ukuu kabisa sababu the whole situation is fuwkedup, watu wafanyaje ili reflection yake ilete matokeo positive ?
 
Mdau nani unagombana naye ? Je ni picha hiyo au huyu mdau wa jf?
 
Hiyo minazi ya kutungua madafu 500 kila siku anaitoa wapi?
 
Hiyo minazi ya kutungua madafu 500 kila siku anaitoa wapi?
Hayatoki jijini unakula madafu na nazi unafikiri vinatoka Dar kwa wingi ? Dar kuna shamba large scale la minazi? Sikupi siri maana na mimi pia mdau wa hiyo biashara
Sababu biashara siri ingekuwa kitu cha wazi kila mtu angekuwa tajiri

Tuishie hapo pambana na hali yako
 
Sasa clouds walikuwa na makusudu gani na huyu jamaa yao au ni kuwaadaa watanganyika ni nani na walimtoa wapi huyu binadamu?

 
Umeongea point sana sana.. rulitakiwa tuangazie hayo maeneo lkn wengi wetu tumeshikilia tu usalama usalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…