nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Kabisa...Tena hakika....sababu twapenda sana maneno.....hivyo kazi yao ni nyepesiiiiNchi yetu iko mbali sana kwa secret service..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa...Tena hakika....sababu twapenda sana maneno.....hivyo kazi yao ni nyepesiiiiNchi yetu iko mbali sana kwa secret service..!!
Yaani kwa elimu hii ya vyuo vya Tanzania usome huku unauza madafu ambayo hujui mnunuzi atakuja kununua muda gani? Huko chuo NIT anakwenda saa ngapi?Embu kujeni wasikieni ilikuwaje kuwaje hadi kuingia Ikulu.
Wengi wanasema ni Usalama.
===
Clouds wameongea na Samweli Vomboteka, mmoja wa kijana aliyeonekana kwenye hafla hiyo wakiwa na matenga ya madafu. Samweli amesema kijiwe chao ni kipo maeneo ya AtoZ supermarket karibu na Ocean Road, na madafu wanayatoa Kigamboni.
Walilipwa pesa kiasi gani?
Hakutaja kiasi cha pesa walichouza kwa dafu moja, ila Rais Samia aliwapa milioni kadhaa bila kutaja ni milioni ngapi hasa.
Walipataje mualiko?
Mh Magoti ndio aliwapitia akawaambia waandae mzigo na kuwaambia pa kupeleka na muda ulipofika walipeleka
Je, wana historia ya kufanya kazi serikalini?
Anasema hawajawahi kuajiriwa serikalini imekuwa bahati tu wakapata nafasi hiyo, akieleza yeye Logistic NIT mwaka wa 2 wakati mwenzake hasomi na kuuza madafu ndiyo shughuli yao kuu.
Mtaani wanasemaje?
Wanapewa hongera kwa kupata bahati kufika Ikulu na kupata nafasi kama hiyo kiujumla, baadhi wakitamani wangekuwa wanauza madafu na kuangukiwa na bahati kama hiyo.
Hivi vyuo vya kibongo unapata wapi muda wa kukariri madesa,course work na kwenda kufanya biashara ya kuuza madafu ambayo hujui mnunuzi atakuja kununua muda gani? Au wakiyafikisha hapo A-Z yananunuliwa yote kila siku?Hili tukio lingetakiwa li-develop stories nyingi lakini watu wameng'ang'ania usalama usalama. Mambo yafuatayo yangetakiwa yafuatiliwe na wasndisi wetu
1. Issue ya ajira wakati wa masomo. Vijana wengine wanabweteka na kugombana na serikali kwenye suala la 'boom'. Samwel ameshatuonyesha kuwa tunaweza kuwa na side hussle while in college
2. Recruiting vendors wa ikulu
3. Usalama wa Mh. Rais
4. Performance ya huyo kijana shuleni na mahusiano na wanafunzi wenzake
5. Wenzake wanaosoma nae wanasemaje kuhusu mahusiano yao? Kwani yupo mwaka wa ngapi?
6. Etc
Inategemea na Idara.. Idara ya TISS na M-IT inaweza ikawa na scenario kama yako.. same as Special units ktk baadhi ya idara kama PCCB na DCEA.. pia CID hawa wote wakikutana ktk harakati mbalimbali za Maisha wanaweza wasijuane.. but MAIN purpose ni same.Kwa nini unakuwa na uhakika hivyo au wewe ndio upo idarani na hujawaona? Nikuhakikishie hata idarani siyo wote wanajuana
Samahani Mkuu hii Pettu issues yako kama Ulivyoandika hapa ni Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza au Kizanaki?Watz, tunapoteza muda na vitu vya kijinga sana..vile vya msingii hatuna navyo muda.
Okay, let say ni usalama, so what?
Au sio usalama, so what??
Tuanze kudiscuss vitu vyenye tija jamni..
Pettu issues ndio zinapoteza muda sanaa,
Shida watu wameaminishwa Usalama ni kazi nzuri na yenye ufahari.
Kuna vitu vya kuzingumza ving sanaa
Kama ni mtaalam wa Behavior Detection utagundua si wana IDARA.. simply.Mkuu,
Hata mimi nimejiuliza sana, tunahakikishaje kuwa hawa si wauza madafu wa kawaida tu walioalikwa Ikulu kuuza madafu na rais wao mpenda madafu akaona vizuri kupiga nao picha?
Idara ina watu wa kila aina..ila kama usemavyoKama ni mtaalam wa Behavior Detection utagundua si wana IDARA.. simply.
Pia muda ni mwalimu mzuri.. hao wamepewa fedha kiasi kikubwa.. tutegemee kutoweka hapo (Wamepata mtaji).
Ikiwa wataendelea kubaki hapo basi Jibu linaweza kuwa ni kweli wana wa IDARA.. but wait.....
Ukirefer maelezo yao ni kwamba kuna mmoja hapo ana MWAKA mzima anauza madafu... sidhan kama hiyo sehem ikawa na Information harvester wa kutumia mwaka mzima akiharvet taarifa.. never. Hivyo tunarud na conclusion kwamba ni mwananchi wa kawaida..
Mbona unajieleza sana.Kama ni mtaalam wa Behavior Detection utagundua si wana IDARA.. simply.
Pia muda ni mwalimu mzuri.. hao wamepewa fedha kiasi kikubwa.. tutegemee kutoweka hapo (Wamepata mtaji).
Ikiwa wataendelea kubaki hapo basi Jibu linaweza kuwa ni kweli wana wa IDARA.. but wait.....
Ukirefer maelezo yao ni kwamba kuna mmoja hapo ana MWAKA mzima anauza madafu... sidhan kama hiyo sehem ikawa na Information harvester wa kutumia mwaka mzima akiharvet taarifa.. never. Hivyo tunarud na conclusion kwamba ni mwananchi wa kawaida..
Wanaume wakiwa wanadiscuss mambo ya kutumia akili unapaswa kuendelea na shughuli za mapishi hapo jikoni..Mbona unajieleza sana.
Maelezo Yako hayasaidii chochote zaidi ya kuharibu.Wanaume wakiwa wanadiscuss mambo ya kutumia akili unapaswa kuendelea na shughuli za mapishi hapo jikoni..
Jidanganye. Kuna wanaokaa miaka 15 sehemu na bado wanaendelea na kazi. Lakini kama wapo kazini si ndio vizuri kuwa nchi ni salama? Au mlitakaje? Wasiwepo watu kufuatilia usalama wa nchi?Kama ni mtaalam wa Behavior Detection utagundua si wana IDARA.. simply.
Pia muda ni mwalimu mzuri.. hao wamepewa fedha kiasi kikubwa.. tutegemee kutoweka hapo (Wamepata mtaji).
Ikiwa wataendelea kubaki hapo basi Jibu linaweza kuwa ni kweli wana wa IDARA.. but wait.....
Ukirefer maelezo yao ni kwamba kuna mmoja hapo ana MWAKA mzima anauza madafu... sidhan kama hiyo sehem ikawa na Information harvester wa kutumia mwaka mzima akiharvet taarifa.. never. Hivyo tunarud na conclusion kwamba ni mwananchi wa kawaida..
Story za vijiweni raha sana..Jidanganye. Kuna wanaokaa miaka 15 sehemu na bado wanaendelea na kazi. Lakini kama wapo kazini si ndio vizuri kuwa nchi ni salama? Au mlitakaje? Wasiwepo watu kufuatilia usalama wa nchi?
Ndio issue za waandishi wangetakiwa wamtafute wajadiliane nae. Pia walimu wake wangehojiwa kuonyesha maendeleo yake chuoni. Lakini sababu viongozi waliopita waliacha kuendeleza kada ya habari basi ngoja tuendelee kumpongeza mama Samia kwa juhudi anazofanya kuboresha taaluma ya habariHivi vyuo vya kibongo unapata wapi muda wa kukariri madesa,course work na kwenda kufanya biashara ya kuuza madafu ambayo hujui mnunuzi atakuja kununua muda gani? Au wakiyafikisha hapo A-Z yananunuliwa yote kila siku?
TISS ndio huwa Wahandisi wakuu wa kutunga Maigizo ya namna hii. Ndio kazi pekee wanayoiweza.Juzi Rais alialika wasanii (chawa?) wakajumuike nae Ikulu kwa ajili ya kupata futari ya mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao ndio ilikua chungu cha kwanza, jambo jema!
Baada ya hapo taharuki kuu imejitokeza baada ya picha ya Rais Samia akikatiza mbele ya wauza madafu wawili ambao walikua wamesimama kwa utii na upole(ukakamavu kiasi).
Swali la kujiuliza wauza madafu wale walikua na mapanga na mabisu yao kwenye viuno na mtenga kama wauza madafu wa mitaani kwetu?
Ikiwa waalikwa walipewa mualiko wa karamu ya chakula, wauza madafu walikua pale kwa ajili ya kumuuzia nani?!! Kwa mamia ya watu waliolikwa, tenga 2 za madafu zingewatosha wakina nani? Tutarajie siku nyingine wauza pweza, ngoka 11 nao kujumisha?
Mwezi mtukufu, kuna ulazima wa kuleta matukio ya kupika?
Ukiwaza kidogo nje ya box,ikiwa maigizo Hadi kwenye mambo ya mwezi mtukufu,je mambo mangapi muhimu na nyeti Watanzania wanafanyiwa hadaa na maigizo?
Imenikumbusha enzi za Magufuli kusambaziwa picha akiwa kijiweni anakunywa gahawa na walalahoi huku walalahoi hao wakiwa na fulana zenye nembo ya serikali ya Bibi na Bwana!
Siwezi kushangaa wakiwa wauza madafu wa kawaida.Kama ni mtaalam wa Behavior Detection utagundua si wana IDARA.. simply.
Pia muda ni mwalimu mzuri.. hao wamepewa fedha kiasi kikubwa.. tutegemee kutoweka hapo (Wamepata mtaji).
Ikiwa wataendelea kubaki hapo basi Jibu linaweza kuwa ni kweli wana wa IDARA.. but wait.....
Ukirefer maelezo yao ni kwamba kuna mmoja hapo ana MWAKA mzima anauza madafu... sidhan kama hiyo sehem ikawa na Information harvester wa kutumia mwaka mzima akiharvet taarifa.. never. Hivyo tunarud na conclusion kwamba ni mwananchi wa kawaida..
ujugu ni karangaDah bwana mdogo umenikumbush mbali sana. Kwa comment hii nimeamini kuwa wewe ni kijana wa enzi zangu na ni mwana Dar es salaam kindaki ndaki kama niandikae comment hii.
kuna chizi mmoja yeye alikuwa anatembelea vijiwe vya bodaboda/bajaji, kahawa na vijiwe vya magazeti. Akifika tu anaanza kufanya sarakasi na kujikunjakunja kama nyoka. Ni mtu wa mazoezi anaoneka alivyojaziajazia mwili wake. Uchafu wake unaonekana ni wa kujipaka. Akishamaliza misheni yake hutoweka eneo hilo na hatimae kutoweka mji huoMachizi wote unawaona mtaani ni wana usalama wako kazini.
hata hawa wanaouza bidhaa mikononi wakitembeza kwenye mabaa, migahani, mahotelini na kwenye magesti ni wa kutiliwa shaka kwani miili yao imeshiba ni wakakamavuNi ngumu Sana, kuaminisha uma kua hao, Ni wauza madafu.
1.Wanajiamini Hilo Swala kwa Raia sio Jambo Jepesi.(Over Confidence)
2.Kwa Tanzania kumtambua mtu Kama Ni Askari au Mtumishi wa Srk Ni Jambo Jepesi Sana.
3.Muonekano wao sio wa mtu anae za madafu, na ukitaka kulikua Hilo Tumia mda wako kuonana na wauza madafu.