Kwani ulifikiri wamejificha?? Wako ngangari na wako wengi tu huko Hai. Mbowe hatakiwi Hai na msaliti LissuWadau wavamizi wa msafara wa Tundu Lissu wilayani hai siku za hivi karibuni wametambulika Ni hawa Hapa , walivamia mpaka magari.View attachment 1539327View attachment 1539326View attachment 1539323
Tuache uoga ivi awa vigagula wanaweza kushambulia timu nzima mkawaacha salama au kuna jingine nyuma ya awa.Wadau wavamizi wa msafara wa Tundu Lissu wilayani hai siku za hivi karibuni wametambulika Ni hawa Hapa , walivamia mpaka magari.View attachment 1539327View attachment 1539326View attachment 1539323
Wanasaccos wamejaa humu JF na mitandao ya kijamii mitaani huwezi waona waoga ile mbaya ndiyo maana wanawake wa Hai waliweza kuwadhibiti mpaka wakakimbia ndukii.Tuache uoga ivi awa vigagula wanaweza kushambulia timu nzima mkawaacha salama au kuna jingine nyuma ya awa.
Tusaidie jamani usijekuta Pier Liquid anamteka komandoo.
Kanakusubiri kafuate kakunyooshe unalialia tu kama bibi!!Huyu mwanamke atakuwa mchawi....ndo maana kamekomaa utadhani kanakula cement.
Peleka jeshini sasa.shubamitiiiPolisi ni watuhumiwa pia!
Ndiyo wanawanyoosha mpaka mtakoma!Kukataliwa na wapiga kura gani....?
wale wahuni waliokuwa wakifanya fujo kipindi kile kwenye mkutano wa mbowe baadhi yao ndo hao hao walifanya fujo na kurushia magari ya chadema mawe juzi kwenye msafara wa lissu bomang'ombe.
Pelekeni ICC basiPoliccm, au?
Kesi ya nyani unapelekea ngedere?!
Kanakusubiri kafuate kakunyooshe unalialia tu kama bibi!!
Huna mamlaka ya kuweka picha za watu mtandaoni ukiwatuhumu wamefanya jinai hiyo. Sheria hairuhusu. Kama una ushahidi wamefanya hivyo peleka ushahidi huo polisi. Unataka wananchi wawazulu vijana hao kwa kuweka majina au picha zao mtandaoni kwa tuhuma inayovuta hasira za baadhi ya wanajamii. Sheria ya makosa ya mtandaoni ni kali sana kwako na hata wamiliki wa mitandao hii. Hadi sasa hao vijana ulioweka picha zao humu watakushitaki na jiandae kufungwa au kulipa faini kubwa.Wadau wavamizi wa msafara wa Tundu Lissu wilayani hai siku za hivi karibuni wametambulika Ni hawa Hapa , walivamia mpaka magari.View attachment 1539327View attachment 1539326View attachment 1539323
TayariPeleka polisi kwa hatua zaidi
Waende kushitaki tu lakini tuhuma kwao zinaendeleaHuna mamlaka ya kuweka picha za watu mtandaoni ukiwatuhumu wamefanya jinai hiyo. Sheria hairuhusu. Kama una ushahidi wamefanya hivyo peleka ushahidi huo polisi. Unataka wananchi wawazulu vijana hao kwa kuweka majina au picha zao mtandaoni kwa tuhuma inayovuta hasira za baadhi ya wanajamii. Sheria ya makosa ya mtandaoni ni kali sana kwako na hata wamiliki wa mitandao hii. Hadi sasa hao vijana ulioweka picha zao humu watakushitaki na jiandae kufungwa au kulipa faini kubwa.
Wadau wavamizi wa msafara wa Tundu Lissu wilayani hai siku za hivi karibuni wametambulika Ni hawa Hapa , walivamia mpaka magari.View attachment 1539326
View attachment 1539337
Kawaambie hao mamluki kwamba,Kwani ulifikiri wamejificha?? Wako ngangari na wako wengi tu huko Hai. Mbowe hatakiwi Hai na msaliti Lissu
Wanasema kazi wameshamaliza wanasubiri 28/10/2020 kukamilisha tuuu!Kawaambie hao mamluki kwamba,
Kama wamejiandikisha kupiga kura hapo Hai, wana haraka gani?
Si wamsubiri Mbowe kwenye sanduku la kura.
Na wa wakuja, Lissu si watampata hata wakiwa wamerudi kwao walikojiandikisha.
Itakuwa alizaliwa katanguliza miguu.Aliye kuita jinga lao alijua sana kilicho kutokea kipindi unazaliwa
Umeambiwa20000@Walipewa shingapi Hawa misukule?
Kwa nini uvunje sheria ya mitandao? Yaani wewe demu kakukatalia mambo yako unarusha picha yake kwenye mtandao wetu pendwa wa Jf kwamba alishambulia msafara wa Tundu Lissu kwa mawe? Unataka mambo ya aina hii ya achwe hivi hivi? Ungefurahi na wewe ukarushwa picha yako au jina lako kwenye mitandao kwamba ndiye uliyehusika kumumiminia Tundu Lissu burst ya full magazine ya AK47 Tundu Lissu hiyo tarehe 17/09/2017? Unadhani jamii ya wana CDM watakuacha salama? Mambo ya polisi waachie polisi. Huwezi ukahatarisha maisha ya binadamu mwenzako kwa kutumia mitandao halafu ukaachwa hivi hivi.Waende kushitaki tu lakini tuhuma kwao zinaendelea