Waliovamia Msafara Wa Mgombea Urais Wa Chadema Tundu Lissu Wilaya Ya Hai Hawa Hapa

Waliovamia Msafara Wa Mgombea Urais Wa Chadema Tundu Lissu Wilaya Ya Hai Hawa Hapa

Kwa nini uvunje sheria ya mitandao? Yaani wewe demu kakukatalia mambo yako unarusha picha yake kwenye mtandao wetu pendwa wa Jf kwamba alishambulia msafara wa Tundu Lissu kwa mawe? Unataka mambo ya aina hii ya achwe hivi hivi? Ungefurahi na wewe ukarushwa picha yako au jina lako kwenye mitandao kwamba ndiye uliyehusika kumumiminia Tundu Lissu burst ya full magazine ya AK47 Tundu Lissu hiyo tarehe 17/09/2017? Unadhani jamii ya wana CDM watakuacha salama? Mambo ya polisi waachie polisi. Huwezi ukahatarisha maisha ya binadamu mwenzako kwa kutumia mitandao halafu ukaachwa hivi hivi.
Mimi ndio wa kwanza kuweka picha humu mtandaoni ? Wanaoweka za mbowe hawana kosa ?
 
Peleka polisi kwa hatua zaidi
Tuna utawala wa kipumbavu sana, enzi za Nyerere watawala wa namna hii aliwaita WASHENZI NA WENDAWAZIMU. Kushindwa kuwajibika kwa serikali hii katika matukio ya kifedhuli yanayoendelea nchini, inamaana TANZANIA HATUNA SERIKALI. Bali kuna GENGE TU linalotawala kihuni na kihalifu, utawala wa namna hii SASA BASI.

MITANO YA MKONO WA CHUMA, INATOSHA...
 
Huna mamlaka ya kuweka picha za watu mtandaoni ukiwatuhumu wamefanya jinai hiyo. Sheria hairuhusu. Kama una ushahidi wamefanya hivyo peleka ushahidi huo polisi. Unataka wananchi wawazulu vijana hao kwa kuweka majina au picha zao mtandaoni kwa tuhuma inayovuta hasira za baadhi ya wanajamii. Sheria ya makosa ya mtandaoni ni kali sana kwako na hata wamiliki wa mitandao hii. Hadi sasa hao vijana ulioweka picha zao humu watakushitaki na jiandae kufungwa au kulipa faini kubwa.

Attachments

  • Makonda ajitangaza mla raha namba moja duniani..mp4
    857.8 KB
Huna mamlaka ya kuweka picha za watu mtandaoni ukiwatuhumu wamefanya jinai hiyo. Sheria hairuhusu. Kama una ushahidi wamefanya hivyo peleka ushahidi huo polisi. Unataka wananchi wawazulu vijana hao kwa kuweka majina au picha zao mtandaoni kwa tuhuma inayovuta hasira za baadhi ya wanajamii. Sheria ya makosa ya mtandaoni ni kali sana kwako na hata wamiliki wa mitandao hii. Hadi sasa hao vijana ulioweka picha zao humu watakushitaki na jiandae kufungwa au kulipa faini kubwa.

Wao walijiaminisha nini kwenda kurusha mawe mchana bila kificho na kukubali kuhojiwa walikuwa wajiaminisha jiji wanakulifind wanakuliget hakuna kuwaonea huruma
 
CHADEMA yaani hata hao watu wako mikono mitupu, hakuna anayejua kupigana hapo, sura ziko wazi, mmeshindwa kujilinda? Kweli? Yaani hata wapita njia wanawapiga piga tu hovyo? CHADEMA mnashangaza sana, hata RPC akiwaona hao watu atawaachia, sbb atawauliza hata hawa wanawapiga?

Unataka wapigane ili waondolewe kwenye kugombea hapigani mtu hapo hata iweje hadi mgombea apitishwe ianze kampeni
 
Mimi ndio wa kwanza kuweka picha humu mtandaoni ? Wanaoweka za mbowe hawana kosa ?
Kuwekwa mtandaoni picha za Mbowe akiwa ametenguka /?ametenguliwa ankle zilihatarisha maisha ya nani? Huoni kwamba kungalikuwa na tofauti kubwa na hatarishi kama wewe ungaliweka picha za watu mitandaoni unaoamini au wa kusingizia kwa sababu zako binafsi kuwa ndiyo waliomtengua Mbowe ankle yake? Huoni kwamba supporters wa Mbowe wangaliwaangamiza watu hao uliowasingizia?
 
Wao walijiaminisha nini kwenda kurusha mawe mchana bila kificho na kukubali kuhojiwa walikuwa wajiaminisha jiji wanakulifind wanakuliget hakuna kuwaonea huruma
Wapeleke polisi siyo hapa mtandaoni ambapo kwanza hawatafanywa cho chote, sana sana watakugeuzia kibao na wewe ndiyo utaipata. Mbona huelewi tu?
 
Duu kila zama Zina mwisho wake!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app

Ukiona mbwa anabweka sana lakini ukiinama chini anakimbilia ndani kwa bwana wake basi jua hakuna mbwa wala mlinzi pale bali ni mungu tu anasaidia na ndio hali halisi ya wenzetu ingawa moja ya kanuni zao ni ....Bishana mpaka dakika ya mwisho kama Ndolanga au kama Yanga....Povu Ruksa
 
Sa si mungeliwakata mikono au vichwa mkabakiza mmoja kurudisha salamu kwa bwana wake,walinzi wa chadema bana ni mapambo tu,amna kitu mwanamke amewakurupusha sa wakiingia vijana wa wa kiume wa ccm itakuwajeh?
 
Back
Top Bottom