Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,751
- 3,698
Kuna siku itafika woote watatajana kama ilivyo kuwa pale kenya walipo takiwa kwenda ICC pale the Hague
Ikawaje Uhuruto ndio viongozi wa Kenya.?
Kuna siku itafika woote watatajana kama ilivyo kuwa pale kenya walipo takiwa kwenda ICC pale the Hague
Wewe ndio uliwakatia risiti za malipo?Umeambiwa20000@
Walioweka hizi picha wenyewe wana haki hawatafungwa eti?
Mimi ndio wa kwanza kuweka picha humu mtandaoni ? Wanaoweka za mbowe hawana kosa ?Kwa nini uvunje sheria ya mitandao? Yaani wewe demu kakukatalia mambo yako unarusha picha yake kwenye mtandao wetu pendwa wa Jf kwamba alishambulia msafara wa Tundu Lissu kwa mawe? Unataka mambo ya aina hii ya achwe hivi hivi? Ungefurahi na wewe ukarushwa picha yako au jina lako kwenye mitandao kwamba ndiye uliyehusika kumumiminia Tundu Lissu burst ya full magazine ya AK47 Tundu Lissu hiyo tarehe 17/09/2017? Unadhani jamii ya wana CDM watakuacha salama? Mambo ya polisi waachie polisi. Huwezi ukahatarisha maisha ya binadamu mwenzako kwa kutumia mitandao halafu ukaachwa hivi hivi.
Tuna utawala wa kipumbavu sana, enzi za Nyerere watawala wa namna hii aliwaita WASHENZI NA WENDAWAZIMU. Kushindwa kuwajibika kwa serikali hii katika matukio ya kifedhuli yanayoendelea nchini, inamaana TANZANIA HATUNA SERIKALI. Bali kuna GENGE TU linalotawala kihuni na kihalifu, utawala wa namna hii SASA BASI.Peleka polisi kwa hatua zaidi
Tuna utawala wa kipumbavu sana, enzi za Nyerere watawala wa namna hii aliwaita WASHENZI NA WENDAWAZIMU. Kushindwa kuwajibika kwa serikali hii katika matukio ya kifedhuli yanayoendelea nchini, inamaana TANZANIA HATUNA SERIKALI. Bali kuna GENGE TU linalotawala kihuni na kihalifu, utawala wa namna hii SASA BASI.Huna mamlaka ya kuweka picha za watu mtandaoni ukiwatuhumu wamefanya jinai hiyo. Sheria hairuhusu. Kama una ushahidi wamefanya hivyo peleka ushahidi huo polisi. Unataka wananchi wawazulu vijana hao kwa kuweka majina au picha zao mtandaoni kwa tuhuma inayovuta hasira za baadhi ya wanajamii. Sheria ya makosa ya mtandaoni ni kali sana kwako na hata wamiliki wa mitandao hii. Hadi sasa hao vijana ulioweka picha zao humu watakushitaki na jiandae kufungwa au kulipa faini kubwa.
Huna mamlaka ya kuweka picha za watu mtandaoni ukiwatuhumu wamefanya jinai hiyo. Sheria hairuhusu. Kama una ushahidi wamefanya hivyo peleka ushahidi huo polisi. Unataka wananchi wawazulu vijana hao kwa kuweka majina au picha zao mtandaoni kwa tuhuma inayovuta hasira za baadhi ya wanajamii. Sheria ya makosa ya mtandaoni ni kali sana kwako na hata wamiliki wa mitandao hii. Hadi sasa hao vijana ulioweka picha zao humu watakushitaki na jiandae kufungwa au kulipa faini kubwa.
CHADEMA yaani hata hao watu wako mikono mitupu, hakuna anayejua kupigana hapo, sura ziko wazi, mmeshindwa kujilinda? Kweli? Yaani hata wapita njia wanawapiga piga tu hovyo? CHADEMA mnashangaza sana, hata RPC akiwaona hao watu atawaachia, sbb atawauliza hata hawa wanawapiga?
Kuwekwa mtandaoni picha za Mbowe akiwa ametenguka /?ametenguliwa ankle zilihatarisha maisha ya nani? Huoni kwamba kungalikuwa na tofauti kubwa na hatarishi kama wewe ungaliweka picha za watu mitandaoni unaoamini au wa kusingizia kwa sababu zako binafsi kuwa ndiyo waliomtengua Mbowe ankle yake? Huoni kwamba supporters wa Mbowe wangaliwaangamiza watu hao uliowasingizia?Mimi ndio wa kwanza kuweka picha humu mtandaoni ? Wanaoweka za mbowe hawana kosa ?
Mkuu mbona huyu amekaa kama teja anachanganya Juice cola na kilimanjaro😅😅😅Wadau wavamizi wa msafara wa Tundu Lissu wilayani hai siku za hivi karibuni wametambulika Ni hawa Hapa , walivamia mpaka magari.View attachment 1539326
View attachment 1539337
Na juicy cola anachanganya ili ziw3 nyingi. Anazimua😅😅Huyu kicheche ndo alikuwa amekaza shingo pale kwenye msafara na kujifanya mzalendo?
Anashushia na Kilimanjaro [emoji38][emoji38]
Wapeleke polisi siyo hapa mtandaoni ambapo kwanza hawatafanywa cho chote, sana sana watakugeuzia kibao na wewe ndiyo utaipata. Mbona huelewi tu?Wao walijiaminisha nini kwenda kurusha mawe mchana bila kificho na kukubali kuhojiwa walikuwa wajiaminisha jiji wanakulifind wanakuliget hakuna kuwaonea huruma
Kama ulikuwepo!Itakuwa alizaliwa katanguliza miguu.
Kuna tofauti kubwa sana ya kiuongozi kati ya kenya na tanzaniaIkawaje Uhuruto ndio viongozi wa Kenya.?
We tuliaWewe ndio uliwakatia risiti za malipo?
Kumbe ni Mlevi halafu kafanana na Dr Shika wana undugu?Wadau wavamizi wa msafara wa Tundu Lissu wilayani hai siku za hivi karibuni wametambulika Ni hawa Hapa , walivamia mpaka magari.View attachment 1539326
View attachment 1539337
Wadau wavamizi wa msafara wa Tundu Lissu wilayani hai siku za hivi karibuni wametambulika Ni hawa Hapa , walivamia mpaka magari.View attachment 1539326
View attachment 1539337