Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Oooook......ila fullnight kwa madem wa kawaida ni bei gan??? Amnaaga cha kubagua weusi??
.


kaka hata sikutaka kuuliza bei za wanawake baada ya huo mkasa...akili ilikaa sawa kesho yake nikiwa kwenye ndege narudi zangu bongo

hakuna cha kubagua tena kule ukionekana mgeni ndio wanakuchangamkia maana wanaamini watalii wengi wanaoenda thailand ni kwaajili ya sexual tourism ...na ndio ukweli huo watalii wengi wanaendaga thailand kugegeda... sijui kwann watu wengi wana fantasy ya kugegeda thailand ila mm ilintokea puani
 
Last edited:
Huyo alitumia vumbi la kongo
 
Kijana naona unapambana kweli kweli kuficha ukweli.
 
Sasa ulijuaje ananyonyesha kwa kumuona tu at first glance?,au alikuja na mtoto guest?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila huyo sio mshenzi eti mwingine angeleta ugogoroshi ujue

hamna pale asingeweza kuleta ubishi maana nilimpa hela yote ndio kwanza alifurahi kapata hela ya bure na anarudi kutega mingo upya
 
Kimboka si kwa madada poa lakini? Hamsikii kinyaa mkiwalala?
Tena hapo mpaka mateja wanawakula wadada wenyewe wachafu kishenzi nilifanya kazi zahanati moja inaitwa bakwata dah mademu wa hapo wengi wameungua
 
Kuna gesti zingine uswazi mikosi tupu.!
Ukute kunguni halafu mashuka yananuka shahawa na yana madoa doa sehemu ya kichwa na katikati.
Uvunguni kumejaa kondom zilizotumika siku nyingi halafu kuna mapanya mbaya zaidi kitanda kina kelele upande wa dirishani ni nyumba wanaishi familia ya kiswahili kuna muda mzee anapiga chabo.
 
Sasa ulijuaje ananyonyesha kwa kumuona tu at first glance?,au alikuja na mtoto guest?
Wakati naingia mapokezi nilimuona amekaa kwenye kochi ananyonyesha nikamsalimia kawaida nikidhani na yeye mteja. Kuzama chumbani mhudumu ananilelea huyo huyo.
 
Ulikua unapiga kavu mademu wa kimboka?,nafikiria kwa sauti tu
 
Wanaume mmeumbiwa mateso kweli. Yani mpaka kunguni kisa k? [emoji23][emoji23][emoji23]
We si unalo tu lipo lipo mda wote unaliona ukitaka ulimiss ulikose sasa unaweza ukaita mizimu yote ni sawa sawa na demu anapanda basi anaijia li dushelele
 
Duh mzee baba ungelewa sana muda huu ungekuwa huna marinda maana sidhani kama angekuacha hivihivi
Ila pole na ushukuru umepona
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hii sio gest bali ni dangulo kabisa mzee.

Kutokana na hali ngumu kifedha watu mnajikuta mmeshalala kwenye madangulo.
 
Teh nyie si mnasemaga wanawake wa Rombo wanawakimbia waume zao kuja kwenu teh teh
 
Duh mzee baba ungelewa sana muda huu ungekuwa huna marinda maana sidhani kama angekuacha hivihivi
Ila pole na ushukuru umepona

kiherehere na nchi za watu sina kabisa tangu siku hiyo yani hata sasahivi nikiwaga na safari za mikoa huwa sinaga mbwembwe kabisa na sehemu nisiyoijua
 
Niliwahi kweda kijijini huko kuna demu niliwahi kukutana nae mihangaikoni nikamwambia ntakuja.......siku ya siku nikawasha Boxer huyo baada kama ya masaa manne nikafika hapo kulikuwa na Guest moja tu yaani moja t,nikamwambia demu mida kama ya saa 4 za usiku demu akaja tukaingia ndani nikaanza kula mzigo we kuna kunguni wa hatari sijawahi ona......kitu kingine vyumba vya jirani navyo wanapigana mambo humo yaani kila mtu ni purukushani
Niliapa sitorudi tena huko kamwe labda kwenda na kurudi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…