Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
Oooook......ila fullnight kwa madem wa kawaida ni bei gan??? Amnaaga cha kubagua weusi??
.
kaka hata sikutaka kuuliza bei za wanawake baada ya huo mkasa...akili ilikaa sawa kesho yake nikiwa kwenye ndege narudi zangu bongo
hakuna cha kubagua tena kule ukionekana mgeni ndio wanakuchangamkia maana wanaamini watalii wengi wanaoenda thailand ni kwaajili ya sexual tourism ...na ndio ukweli huo watalii wengi wanaendaga thailand kugegeda... sijui kwann watu wengi wana fantasy ya kugegeda thailand ila mm ilintokea puani
Last edited: