Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nmecheka sana. Pole asee
 

Bao tatu dk 10 asee nimecheka kifala sana
 
Nimekumbuka siku nimemchukua dem wangu alikuwa katembelewa na rafiki ake geto kwake tukaona hatuwezi kulala hapo tukalale guest. Tumechukua chumba guest moja maeneo ya tabata savanna dah kuingia ndani feni halizunguki tukahama chumba, kwenda chumba cha pili ambacho kina afadhali kidogo nmemuandaa mama vzuri kabisa mara oh chaga zimechomoka kidogo mtoto wa watu avunjike mgongo. Nilienda muita mhudumu nikammind hatari kabisa. Nikamwambia kwa hasira natoa chaga naweka godoro chini kesho yake watengeneze kitanda akakubali. Asee show ya chini ni tam asikwambie mtu
 
Nilienda kufanya kazi kwenye kisiwa kimoja ziwa victoria, gesti ni za mabanzi, ilipofika usiku gesti nzima ilikuwa kama karakama ya kutengenezea milango!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wakuu kuna gest moja niliwahi kulala maeneo flani hivi Duuuuu. Niliingia saa 8 mchana nikitoka safari yangu kwenda mkoa kucheki kibarua. Aiseee Mhudumu wa pale aliGONGWA NA WATU 7 Tofauti tofauti mzee duu nikachoka alafu akawa ananiuliza kwani unamtu utalala nae nije tulale wote !?? Nikamjibu ndio akawa anazunguka zunguka kaa Kishada kuandalia kama kunamtu naingiza. Asubuhi akawa ananilaani kweli eti wewe sio Mwanaume, unalalaje pekeyako na baridi wakati sie tupo! Kimoyomoyo nkanasonya nyoooooo kafilie mbali hukooo! Naomba kuwasilisha vituko vya magest
 
Maeneo gani
 
Mimi kuna siku nimefika Mwanza usiku, mida ya saa nane usiku, tafuta guest, zote zimejaaa, dereva teksi akanipeleka moja hiyo, kufika pale nimeshusha na vitu vyangu, mhudumu akaniambia nilale nae kwenye chumba chake halafu hela nimpe yeye, nikamwambia nipeleke reception, nilivyofika nikapewa chumba, kilikuwa kibaya, ikabidi nitandike vikoi vyangu aisee, nikaona hapa ngoja nijiegeshe Masaa mawili halafu niendelee na safari, sijatulia mademu wawili wakaja, mmojawapo ana tako hatari, wakaniambia niwape hela kidogo walale na mimi, nikawafukuza, natoka nje namkuta dada mmoja anaanika nguo zake yupo uchi wa mnyama.
Halafu ndio ilikuwa first time nafika hapo.
 
Ikawaje baada ya kumkuta uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…