Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Tatizo ni ile joto tukiwabana mnawah kukojoa [emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app

acha tu yani ..na hapo unakuta mwingine kimaumbile tu joto lake la maeneo lipo juu plus na hayo mautundu yenu na bado natakiwa nisiwahi kukojoa ili nionelane kidume na kumrishisha

wanaume tumeumbwa mateeeeesooooo kuhangaika x2

nimejikuta naimba tu
 

Duuuh huyo mdada ni hatari
 
Hahaha humu kuna visa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee mm nilienda gest moja maeneo ya buguruni na mtoto flani hiv ila wakawaida

Daah kulikua na kunguni katika godoro hadi ikawa balaa

Nilikula mzigo kibishi bishi ila niliapa mm na gest za buguruni basi tena
Hii ya kunguni imenikuta mtwara juzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…