yalikuta Msata Tanga nimeingia mida ya saa 2 hivi usiku nikamwendea bodaboda anipeleke gest yoyote ya karibu jamaa akatekeleza bahati zuri vyumba vipo. sijachelewa fasta nikalipia ishu ndani sasa, ile naingia tu chumbani nkachek kitanda hammmmadi weee yaaaala aisee kitanda ni cha zege yaani wamejenga kama kaburi esp yaale makauri ya Waislam ya kuacha space katikati then juu wameweka godoro la wanafunzi 3/6. nikasema silali juu ya kaburi never. hatimaye nikalala chini yaani pembeni na kaburi. sikupata usingizi abadani. duu Tanga noma