King Elly
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,206
- 1,312
Uwa silipii kabla sijakagua room nyie mtakua mmezijulia ukubwani Lodge kwanza mi nilianza kuingia guest 18 yrs kipindi iyo Lodge chache wanalala wabunge tu DodomaMimi sikwenda mwenyewe nilikua natoka zangu mishe sasa kuna dada mmoja hivi alinizidi miaka 5+ ila ilikuwa sikuwahi kula siku hiyo ndo akawa anataka gemu sasa nikamtumia buku 20 achukue room kabisa khaa si kaleta ubahili akaenda pale kuchukua room ya elfu 10 ***** tulipata hasara ikabidi atoe na ile 10 iliyobakia nikaongeza na nyingine tukaenda sehemu nyingine...ukiona kwa nje iko poa ila ndani tanda la zege tv haifanyi kazi yaan kupo rafu vurugu tupu afu nje ndo bar jau jau *****