Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dup pole mkuu maana najua karaha tunazokutana nazo kwenye kuonwa kalio. Binafsi sidhani kama kuna kitu nachukia kama kuonwa kalio au manz kunishika kalio wakati nipo mchezoni
We jamaa unakuaga una mikosi sana kwenye haya mambo, unakumbuka yule Demu aliyechukua laki na ishirini kizembe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asalam Aleikhum, Shalom, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Christo . Natumai mu salama,
Wanajamviii bwana, kunasiku 1 nilisafiri kikazi mkoa wa Lindi, tulikuwa kama mtu 7, wanaume 6, na mmoja ni mwana mama. Sasa Tukafikia Lodge/Guest flani hivi near Bahari, siikumbuki jina (na SINAHAJA YA kutaka kuikumbuka) , basi kwakuwa vijana tuna mambo mengi tulivofika tuu tukashuka garini vijana tukazama kwenda kucheki sampuli za vyumba. Huku tukiwa na mpango Yule mama na wengine wenzetu watatu (Me) tuwaengue tusilale nao gesti 1 ili tujitanue kufanya yetu. Basi kuingia tukakuta vyumba self-contained 4, fasta jamaa akarudi kwenye gari akawaambia jamanii kuna nafasi zipo 3, kwahiyo sie tumefika, akashuka kijana mwingine tukawa watatu, wazee/watuwazima 3 near 40 mama na Dereva wakaenda kutafuta gesti maeneo ya Lindi Stend. SASA Kama ilivo mambo ya vijana tukajichanganya bar 1 . Kula, kunywa na baadae tuondoke na vimwali, SI NDIO NKAOPOA MWALI 1, tukasepa mpaka gesti, sasa tumo ndani kila kijana akimuhemea mdada alomuopoa mara nikasikia mlangowangu unagongwa, nikakatisha kula papuchi nkaendakufungua nikiwa na imani ni mwenzangu labda anashida, kucheki ni mdada muhudum wa Gesti, akanambia Kwa upole, huyo mdada ulonaye anaitwa nje, nikamjibu poa, sasa kwakuwa vijana wenu nilikuwa sijakojoa nkajua huyu dem atakuwa anawengi so mpaka nikojoe ndio nimruhusu atoke maana nikimruhusu kabla anaweza asirudi. Nikakomaa na gem nikashusha kimoja cha fasta. Namaliza tuu mlango unagongwa tena, nikampa ujumbe oyaa kunawatu wanakuulizia nje, kawasikilize! Anafungua mlango mala naona njemba 2 zimemdaka, mie naangalia tu, wakatoana nje, Sikujihusisha nkatulia ndani kimyaaa. Mara mlango ukagongwa nikajua dem anarudi, mlango ukapigwa teke jamaa Kama 5hiv zikaingia wakaanza kutaka kunitoa nje, nikaona nikibishana nao itakuwa noma, basi nkatoka nikamkuta dem kakalishwa chini, alafu jamaa 1 anamlinda. Kufika wakasema nimeMt.. mba dem wao kwahiyo wanataka hela, simu,. Nikawaambia mie sijamtmba na pale ndani ndio kwaaanza tulikuwa tunaelewana bei. Hawakuamini wakamuuliza dem akawajibu hivo hivo, wakaniachi wakaanza kumpakichapo dem huku wanaondoka kuelekea bar, mie nikarudi ndani nkachukua kibegi changu nkasepa. JAMANI TUJIFUNZE. kesho yake tukapiga kazi wenzangu wananiuliza mbona tumeamka asubuhi hatujamuona ulilala wapi, sikuwajibu ukweli nikawaambia nilipata dem anageto lake kwahiyo ndo nalalakwake. Sasa siku tunaondoka jamaa wakaanza kunipakisa kisa kilichotokea, wakasema afadhali nilivopata dem mwingine nikalala kwake sababu kunajamaa walikuwa wanakuja gesti Pale kama Mara tatu wananiulizia kwa Mgeni Chumba namba 9. Bila mafanikio hawakunipata. Inaonesha Demu walimpiga kichapo cha mbwa koko ikabidi aseme kuwa nilimtomb. Nadhani ndio wakaanza msako huoni. Sasa Jamaa zangu waliambiwa na Nani,? Kumbe ni muhudumu, !!!!! Tulivo rudi kazini Jamaal zangu tulokuwa nao wakanitunga Jina LA OSAMA kisa natafutwa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JAMANI SOMO HILI. pia Yule dem alirudi pale gesti akachukua namba yangu ya simu, akinikumbukaga ananisalimia. NAOMBA KUWASILISHA, NIMEKOMA JAMANI
Tupe mkuuSijuhi nianze na story gani
Duke Mkuu, asante Kwa pole. Lakini Ninayohadithia ni mikasa na visa. Ila kama ukitaka Mengine ya Raha sema ntakujuza maana yapo mengi. Ila kutokana na KICHWA CHA HABARI CHA HAPO JUU, nadhani tunashea tulokumbana nayo Kama changamoto. AsanteWe jamaa unakuaga una mikosi sana kwenye haya mambo, unakumbuka yule Demu aliyechukua laki na ishirini kizembe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kizembe! Usiombe yakukute, utatamani Ardhi ipasuke uingie, naomba nikusahihishe, sio mikosi bali ni setbacks HASA UKIWA MTUMIAJI MKUBWA WA GESTI/LODGE,/HOTELS sasa mie ni msafiriji Sana kikazi, na MPENDA MIZIGO, SIWEZI KULALA siku 2 SIJAPIGA MZIGO, UJUE NTAUMWA NA NIKIENDA KUPIMA NTAKUTWA NA MALARIA, TYPHOID, AMEOBA,. asante naomba kuwasilishaWe jamaa unakuaga una mikosi sana kwenye haya mambo, unakumbuka yule Demu aliyechukua laki na ishirini kizembe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi viwanja gani unavikubali darKizembe! Usiombe yakukute, utatamani Ardhi ipasuke uingie, naomba nikusahihishe, sio mikosi bali ni setbacks HASA UKIWA MTUMIAJI MKUBWA WA GESTI/LODGE,/HOTELS sasa mie ni msafiriji Sana kikazi, na MPENDA MIZIGO, SIWEZI KULALA siku 2 SIJAPIGA MZIGO, UJUE NTAUMWA NA NIKIENDA KUPIMA NTAKUTWA NA MALARIA, TYPHOID, AMEOBA,. asante naomba kuwasilisha
K29 aisee mie bwana mbeya nimetoka muda kidogo nadhani safari za mbeya mwisho 2004/2007Nijuzeni ni guest zipi kwa mbeya mjini nitapata hizo huduma za wadada wa kali.
Kimara KorogweMaeneo gani
Iyo ilikuwaga enzi hizoo mzee babaDuh! gazeti la Kombora bado lipo?
Mzee baba mie Kwa sasa nimestaafu, ILA KULIKUWA NA AMBIANCE, KONA, BALACUDA, TOROKA UJE, JOLLY, CLUB BILLCANAS, COCO BEACH, MIKADI, KAWE (sipakumbuki vizuri), Bahama mama, YENu, TMK - Pile nkHahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi viwanja gani unavikubali dar
Kweli wewe ulikuwa master hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee baba mie Kwa sasa nimestaafu, ILA KULIKUWA NA AMBIANCE, KONA, BALACUDA, TOROKA UJE, JOLLY, CLUB BILLCANAS, COCO BEACH, MIKADI, KAWE (sipakumbuki vizuri), Bahama mama, YENu, TMK - Pile nk
Ahahaha mbeya kulikuwa na hilltop, Mountain View, BamboKweli wewe ulikuwa master hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujana maji ya moto !!!! Bila kupasahau BUGURUNI MALAPA, ya enzi hizooooooKweli wewe ulikuwa master hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vp viwanja gani unahisi bado moto haujazima unijuze na mimi.K29 aisee mie bwana mbeya nimetoka muda kidogo nadhani safari za mbeya mwisho 2004/2007
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ahahaha mbona umekubali haraka au nawewe ndio vilikuwa viwanja vyako nini??????Kweli wewe ulikuwa master hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata Jana nilikuwa buguruni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ahahaha mbona umekubali haraka au nawewe ndio vilikuwa viwanja vyako nini??????
Ukichelewa nongwa ukiwai nongwaMi napenda mwanaume achelewe[emoji6][emoji6]