Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

Nipo hivyo siku zote

Usingewaza kuwatoroka Watu na wasijue uko wapi kisa mapungufu yao ya kitabia.

Lazima ukubali ukweli kûwa duniani tunaishi na Watu wema na waovu na lazima uwavumilie kama wao wanavyokuvumilia. Kama wewe usivyopenda ubaya wao ndivyo hivyohivyo wapo wasiopenda wewe kuwa mwema.
 
Huwezi elewa
 
Kwakweli inauma sana
Watoto wamjomna walipotea kwa masaa 24 tu ila ule mtafuto kalibia wanakijiji wote hawakulala sitasahaau usiku wa saa nane tuko ma baiskeli eti twaenda kwa mganga atusaidie .mganga nae akatuingiza chaka eti watoto wapo kwenye mti mkibwa hapo kijijini na wanatuona nakusikia ila aiai hatuwaoni keaho wana katwa ulimi .haa asee nikimcheki mjomba analia tu hua nakumbuka maondo ngoma ukiona mtu mzima analia mbele za kadamnasi
 
Back
Top Bottom