Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Utibeli ndo nini? In english nitaelewa vizuri
Nipo hivyo siku zoteJustice, Love, Truth, Intelligent ndio Utibeli
Nipo hivyo siku zote
Huwezi elewaUsingewaza kuwatoroka Watu na wasijue uko wapi kisa mapungufu yao ya kitabia.
Lazima ukubali ukweli kûwa duniani tunaishi na Watu wema na waovu na lazima uwavumilie kama wao wanavyokuvumilia. Kama wewe usivyopenda ubaya wao ndivyo hivyohivyo wapo wasiopenda wewe kuwa mwema.
Nipo hivyo siku zote
Uko wapi mkuu, neno lako limenitakasaPole aseee, ukikaa karibu na ndugu ni ishu, yani raha ya ndugu muwe mbali mnakutana mara chache....pole mkuu
Chagua furaha, maisha ni mafupi kuishi kwa huzuni.
Karibu sana, nipo mbele braza 🤣🤣🤣🤣Uko wapi mkuu, neno lako limenitakasa