Waliowahi kuwa wanene au vibonge, tukutane hapa

boris maganga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
382
Reaction score
378
Niliwahi Kuwa mnene hadi nikawa najikatia tamaa jinsi nilivyo,unene usikie kwa jirani unachosha sana,kilo zangu hazikuwa chini ya kg120.

Sasa hivi nina kg70 kama unapiga gym na wewe ni mnene usinyanyue vyuma we pendelea kukimbia na kuruka kamba au kuendesha baskeli.

Mazoezi haya yanapunguza mwili kwa kasi kuliko unapotoa jasho jingi ndivyo na uzito unashuka kwa haraka,mimi nilifikia kuondoa hadi kilo 1 kwa siku.!
 
Mkuu,hyo kilo 1 kwa siku mmmh labda mazoezi gani ulikua unatumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…