Waliowahi kuwa wanene au vibonge, tukutane hapa

Waliowahi kuwa wanene au vibonge, tukutane hapa

Kama huwezi vyote kunywa maji ya moto na limao asbh na jion inasaidia me ndo ninvyofanya hayo mengine yanataka moyo utaanza siku mbili ya tatu umeshaacha
mkuu maji ya limao nimewahi kutumia,lakini kilichokuja kunisaidia ni mazoez
 
Niliwahi Kuwa mnene hadi nikawa najikatia tamaa jinsi nilivyo,unene usikie kwa jirani unachosha sana,kilo zangu hazikuwa chini ya kg120.sasa hivi Nina kg70.,kama unapiga gym na wewe ni mnene usinyanyue vyuma we pendelea kukimbia na kuruka kamba au kuendesha baskel Mazoezi haya yanapunguza mwili kwa kasi kuliko ..unapotoa jasho jingi ndivyo na uzito unashuka kwa haraka,Mimi nilifikia kuondoa hadi kilo 1 kwa siku.!
Sijawahi experiencing unene yan..ingawa nautamanig somtimes..sema ndio vile hauwezi kuna ni mtu wa mazoezi sana mie.
 
Niliwahi Kuwa mnene hadi nikawa najikatia tamaa jinsi nilivyo,unene usikie kwa jirani unachosha sana,kilo zangu hazikuwa chini ya kg120.sasa hivi Nina kg70.,kama unapiga gym na wewe ni mnene usinyanyue vyuma we pendelea kukimbia na kuruka kamba au kuendesha baskel Mazoezi haya yanapunguza mwili kwa kasi kuliko ..unapotoa jasho jingi ndivyo na uzito unashuka kwa haraka,Mimi nilifikia kuondoa hadi kilo 1 kwa siku.!
Hongera sana.
 
Natamani sana kupungua ndugu zangu nilijitahidi sana na diet ila kwa sasa imenishinda
punguza kula vyakula vya wanga usiku na vinywaji vya sukari.kunywa maji kiasi ya uvuguvugu yasio na kitu asubuhi halafu piga mazoezi mepesi utoke kajasho ,utaona matokeo
 
Mimi nashindwa kufanya mazoezi wala diet, Nikifanya mazoezi two weeks haziishi naingia majaribuni napumzika[emoji21]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaaa!!acha nipigie mstari kabisa kumbe sikukosea.
Pole njoo nikuelekeze jinsi ya kupungua
 
Mm mazoezi yalisha nishindaga, nafanya mazoez leo nakaa week ndo nafanya tena
 
Ipo sana , uvivu tuu yaani nikianza leo kesho naacha, Nilikimbiaga gym kisa mazoezi magumu yani yule tutorial alivoniona alinipigisha mazoezi nikahisi kufa kufa niliondoka na sikurudi tenaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole
 
Back
Top Bottom