Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kuna mtu kanifata inbox akilalama Mimi nimepewa hela kukataa DP world.
Sijapewa chochote na mtu yoyote. Mimi ni mmoja ya watu ambao ulikuwepo wakati AirTanzania inasambaratika Kuna muda kwenda Mwanza kwa ndege ilikuwa hadi laki 9 one way.
Tulikuwepo wakati TRC linabinafshishwa likabakia chumba chakavu kabisa.
Nilikuwepo wakati Net solution na Dawasco ipo.
Hakuna ubinafsishwaji ambao hatujapigwa hapa Tanzania kila sehemu tulipigwa. Mimi binafsi najua DP world vizuri sana toka day one.
Tena najua mengi sana. Hata tofauti ya tarehe za kusign mkataba wa IGA na dollar million 500 grant kwenda TPA April 27th 2022
Mimi huu ni mtazamo wangu binafsi nachukulia uwekezaji huu kama skendo kubwa kama ya Richmond ambayo ingeyumbisha nchi kabisa.
Tunashukuru watawala wapo ngangari sana nchi haijayumba na watu wanasikiliza wanachoambiwa.
Mkataba ni mbaya sana tumewapa kila kitu DP World. Kwahiyo nasimama na historia yetu kwenye maswala ubia. Nasimama na mkataba mbaya. Hatujahongwa chochote na mtu yoyote.
Hizi ni siasa tu hazina maana kwenye Maslahi yetu wananchi