Tetesi: Waliowapa DP World Bandari ndiyo haohao waliwapa TICTS mkataba ndio hao hao wezi bandarini

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Kuna mtu kanifata inbox akilalama Mimi nimepewa hela kukataa DP world.
Sijapewa chochote na mtu yoyote. Mimi ni mmoja ya watu ambao ulikuwepo wakati AirTanzania inasambaratika Kuna muda kwenda Mwanza kwa ndege ilikuwa hadi laki 9 one way.

Tulikuwepo wakati TRC linabinafshishwa likabakia chumba chakavu kabisa.
Nilikuwepo wakati Net solution na Dawasco ipo.

Hakuna ubinafsishwaji ambao hatujapigwa hapa Tanzania kila sehemu tulipigwa. Mimi binafsi najua DP world vizuri sana toka day one.
Tena najua mengi sana. Hata tofauti ya tarehe za kusign mkataba wa IGA na dollar million 500 grant kwenda TPA April 27th 2022

Mimi huu ni mtazamo wangu binafsi nachukulia uwekezaji huu kama skendo kubwa kama ya Richmond ambayo ingeyumbisha nchi kabisa.

Tunashukuru watawala wapo ngangari sana nchi haijayumba na watu wanasikiliza wanachoambiwa.

Mkataba ni mbaya sana tumewapa kila kitu DP World. Kwahiyo nasimama na historia yetu kwenye maswala ubia. Nasimama na mkataba mbaya. Hatujahongwa chochote na mtu yoyote.

Hizi ni siasa tu hazina maana kwenye Maslahi yetu wananchi
 
Hapa hujaweka IPTL, ndege ya rais, radder, Meremmeta, Kagoda, Escrow, Dowans, uuzaji wa NBC na makampuni mengine. Tumepitia kote huko kwa uchungu na madhara makubwa kwa nchi yetu. Matokeo ya yote hayo ni kudumaa kwa uchumi wetu. Wakati tunapata uhuru hadi mwaiaka ya 80 shilingi yetu na ya Kenya zilikuwa na thamani sawa na uchumi usiopishana sana. Leo hii shilingi ya Kenya ni sawa na shilingi 20 zetu na uchumi wao ni zaidi ya mara mbili ya wetu. Hii inatokea wakati zaidi ya nusu ya nchi ya Kenya ni karibu ya kuwa jangwa(semi arid). Inatia uchungu unapoona baadhi ya watz badala ya kujibu hoja katika hili wanaleta ushabiki ambao wakati mwingine una hisi wanatania. Kwa kweli inasikitisha.

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
True, element za ufisadi kutoka awamu ya tatu na nne zimerejea kwa nguvu yote.
 
Ulikuwepo wakati Mkapa anaambiwa anauza nchi Kwa makaburu??
Leo hiyo nchi aliyoiuza Mkapa Kwa makaburu ndo hii mnasema Samia anauza Kwa waarabu?..

Wakati Mkapa anauza hisa Tu za NBC Kwa ABSA mkasema..sio mzalendo kaitupa Benki yetu ya taifa Kwa makaburu..Leo likitajwa gawio la serikali NBC na NMB na Crdb...mnajikausha kimyaa kama sio nyinyi mliosema nchi inauzwa Kwa makaburu....

Hakuna kitu dangerous kama "half education"...
Half education inawafanya mnakuwa mabingwa wa kukosoa kila kitu...hata success story ikija hamuioni na.... hamuwezi ku admit mlikosea

Tatizo la Taifa hili ni ujinga Hadi Kwa wasomi...
 
NBC iko wapi? Bank kubwa ya nchi imebakia minara tu barabarani pale. Hakuna bank kubwa kubeba real estate ukipita Tanzania na ndege nikama nyumba za makuti. TBL ipo wapi?
 
Kuna mtu kanifata inbox akilalama Mimi nimepewa hela kukataa DP world.
Sijapewa chochote na mtu yoyote. Mimi ni mmoja ya watu ambao ulikuwepo wakati AirTanzania inasambaratika Kuna muda kwenda Mwanza kwa ndege ilikuwa hadi laki 9 one way.

Tulikuwepo wakati TRC linabinafshishwa likabakia chumba chakavu kabisa.
Nilikuwepo wakati Net solution na Dawasco ipo.

Hakuna ubinafsishwaji ambao hatujapigwa hapa Tanzania kila sehemu tulipigwa. Mimi binafsi najua DP world vizuri sana toka day one.
Tena najua mengi sana. Hata tofauti ya tarehe za kusign mkataba wa IGA na dollar million 500 grant kwenda TPA April 27th 2022

Mimi huu ni mtazamo wangu binafsi nachukulia uwekezaji huu kama skendo kubwa kama ya Richmond ambayo ingeyumbisha nchi kabisa.

Tunashukuru watawala wapo ngangari sana nchi haijayumba na watu wanasikiliza wanachoambiwa.

Mkataba ni mbaya sana tumewapa kila kitu DP World. Kwahiyo nasimama na historia yetu kwenye maswala ubia. Nasimama na mkataba mbaya. Hatujahongwa chochote na mtu yoyote.

Hizi ni siasa tu hazina maana kwenye Maslahi yetu wananchi
Unaposema "Watawala wapo ngangari sana, Nchi haijayumba na watu wanasikiliza wanachiambiwa " unamaanisha nini?

Watawala wapo ngangari kuitetea au kupinga mkataba?
 
Back
Top Bottom