Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Na hali si nzuri, vilio vishaanza kusikikaNgoja tuone!
Nadhani sasa ndio watafaidi zaidi.
Wanaweza kulamba uwaziri!
masikitiko makubwa sana!Karma
Malipo ni hapa hapaMhhm...hatari!
Kwa sasa hata Chadema ikiitisha kikao cha baraza kuu hakitaweza tena kuwavua uanachama akina Halima James Mdee.Na hali si nzuri , vilio vishaanza kusikika
Mbona uanachama walishavuliwa kitambo !Kwa sasa hata Chadema ikiitisha kikao cha baraza kuu hakitaweza tena kuwavua uanachama akina Halima James Mdee.
Dr Bashiru amekalia kiti chenye nguvu sana!
Karma
Inasemekana aliachwa makusudi ili aje kujaza nafasi ya Bashiru..sijui kwanini dr.mashinji hajateuliwa nafasi yoyote mpaka sasa.
Inasemekana aliachwa makusudi ili aje kujaza nafasi ya Bashiru
..interesting.Inasemekana aliachwa makusudi ili aje kujaza nafasi ya Bashiru
Nafasi ya Bashiru kwio๐๐๐Inasemekana aliachwa makusudi ili aje kujaza nafasi ya Bashiru
Bado ana marupurupu ya kufanikisha COVID-19 kuingia mjengoni ndio maana bado hajafikiriwa..sijui kwanini dr.mashinji hajateuliwa nafasi yoyote mpaka sasa.
Shetani hana rafiki, Katibu mkuu kiongozi hana uwezo wa kuteua yeyote, yeye anatoa maoni tu kwa majina yaliyoletwa, lakini katibu mkuu wa CCM ana uwezo wa kuteua watu wake wawe Ma DC au Ma RC au hata mawaziri, ninao ushahidi wa baadhi ya watu wa Katibu mkuu kuukwaa uongozi akiwemo naibu waziri anayetokea kaskazini.Sijaelewa kwamba hao walishawishiwa ahadi ya kuwa viongozi kwenye chama au serikali?
Sasa kama Bashiru anakua katibu mkuu kiongozi atashindwa vipi kuwapigia chapuo wapate vyeo hao walioahidiwa?
Ingawa pia kama waliondoka kwenye vyama vyao wakiahidiwa vyeo basi niwanasiasa wasiofaa.
Ndio maujinga munayowaza tuKwa sasa hata Chadema ikiitisha kikao cha baraza kuu hakitaweza tena kuwavua uanachama akina Halima James Mdee.
Dr Bashiru amekalia kiti chenye nguvu sana!