Waliowashawishi kuhamia CCM wanaondoka bila ahadi ya vyeo kutimia. Nani alaumiwe?

Kwanini sio sahihi? Unadhani KUWA specialist doctor ndio kuwa na akili? Inawezekana ameelimika lakini hana akili!!!
..sikubaliani na mtizamo wako.

..na wewe hukubaliani na mtizamo wangu.

..tukubali kutokukubaliana.
 
Kama kuna ambaye anaondoka aende chap kwa haraka sifa ya uongozi ni UVUMILIVU.
 
Humphrey Polepole ambaye ndiye aliyekuwa ofisa mazungumzo ( manunuzi ) siku yoyote ataachia kiti cha uenezi kwa vile kishaingia bungeni , Huku mlipaji mkuu wa chama ambaye ni Katibu Mkuu Mh Bashiru Ally akiteuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi wa Ikulu , na bila shaka ataondoka kwenye Ukatibu Mkuu wa CCM

Watakuja wengine wenye mipango mipya , hofu yangu ni kwa vijana walioshawishiwa watukane walikotoka , Je ni nani atawakumbuka ikiwa ahadi ya kupewa vyeo haikuandikwa popote ?

View attachment 1712596

Hawa jamaa akikuhaidi kitu usipo changaka kiroho na kiakili
Humphrey Polepole ambaye ndiye aliyekuwa ofisa mazungumzo ( manunuzi ) siku yoyote ataachia kiti cha uenezi kwa vile kishaingia bungeni , Huku mlipaji mkuu wa chama ambaye ni Katibu Mkuu Mh Bashiru Ally akiteuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi wa Ikulu , na bila shaka ataondoka kwenye Ukatibu Mkuu wa CCM

Watakuja wengine wenye mipango mipya , hofu yangu ni kwa vijana walioshawishiwa watukane walikotoka , Je ni nani atawakumbuka ikiwa ahadi ya kupewa vyeo haikuandikwa popote ?

View attachment 1712596
Hawa jamaa wakikupatia wanakuona bwege sana
 
Katibu mkuu ajaye hapa lumumba ahakikishe maccm tunaandaa pesa za kutosha ili tumnunue Freeman Mbowe, Fatma Karume, Maria Sarungi na Kigogo wa Twitter
 
Kuhama chama ni UMALAYA wa kisiasa as Mwalimu would have put it!! Wakina Mashinjii na wenzie kutoka Chadema walitongozwa na kununuliwa ili kuhamia CCM!!

..Mwalimu Nyerere naye ni binadamu.

..msichukulie kuwa kila anachosema ni sahihi.

..sasa ukisema aliyenunuliwa ni malaya, je aliyenunua siyo malaya?

..tusitumie maneno magumu sana ktk siasa na mijadala.
 
Back
Top Bottom