Waliowashawishi kuhamia CCM wanaondoka bila ahadi ya vyeo kutimia. Nani alaumiwe?

Waliowashawishi kuhamia CCM wanaondoka bila ahadi ya vyeo kutimia. Nani alaumiwe?

Wanaondoa watu/viongozi, Ofisi, munutes na madokezo yote yanabaki ofisini kwa utekelezaji zaidi.

Hivo, usihofu lolote. Karibu CCM tuijenge Nchi mkuu.
 
Nafasi ya Bashiru kwio[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwani Kijazi kafa kwa makusudi??? Ile nafasi ina wenyewe na sio mashinji

Kama Ukatibu wa Upinzani ulimshinda akajawa na tamaa unahisi CCM atatosha? Aendee kuomba Mungu Changamoto ya kupumua ishike kasi pengine anaweza kuibukia mbele ya safari[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Kijazi kafa kwa makusudi?...!!
Pigia mstari hayo maneno.
 
Sijaelewa kwamba hao walishawishiwa ahadi ya kuwa viongozi kwenye chama au serikali?
Sasa kama Bashiru anakua katibu mkuu kiongozi atashindwa vipi kuwapigia chapuo wapate vyeo hao walioahidiwa?
Ingawa pia kama waliondoka kwenye vyama vyao wakiahidiwa vyeo basi niwanasiasa wasiofaa.
Aisee mkuu wewe ndie jumbe brown? Dah umebadili jina? Avatar picha yako ndio imenifanya nikutambue
 
Sijaelewa kwamba hao walishawishiwa ahadi ya kuwa viongozi kwenye chama au serikali?
Sasa kama Bashiru anakua katibu mkuu kiongozi atashindwa vipi kuwapigia chapuo wapate vyeo hao walioahidiwa?
Ingawa pia kama waliondoka kwenye vyama vyao wakiahidiwa vyeo basi niwanasiasa wasiofaa.
Wenye taabu ni wale wanajenga uadui kwenye siasa. Ila kama uanachama wako kwenye chama chochote ni kwa sababu ya policies za chama husika maumivu siku zote yatakuwa na kiasi.
 
hivi yuda aliacha watoto maana maandiko sijaona.ila dunia ya sasa ina ukoo na vizazi vya yuda
 
Back
Top Bottom