Waliowashawishi kuhamia CCM wanaondoka bila ahadi ya vyeo kutimia. Nani alaumiwe?

Wanaondoa watu/viongozi, Ofisi, munutes na madokezo yote yanabaki ofisini kwa utekelezaji zaidi.

Hivo, usihofu lolote. Karibu CCM tuijenge Nchi mkuu.
 
Kwa sasa hata Chadema ikiitisha kikao cha baraza kuu hakitaweza tena kuwavua uanachama akina Halima James Mdee.

Dr Bashiru amekalia kiti chenye nguvu sana!
Maisha haya??? Nitamlilia Kijazi milele.
 
Kwani Kijazi kafa kwa makusudi?...!!
Pigia mstari hayo maneno.
 
Aisee mkuu wewe ndie jumbe brown? Dah umebadili jina? Avatar picha yako ndio imenifanya nikutambue
 
Wenye taabu ni wale wanajenga uadui kwenye siasa. Ila kama uanachama wako kwenye chama chochote ni kwa sababu ya policies za chama husika maumivu siku zote yatakuwa na kiasi.
 
Kwani Kijazi kafa kwa makusudi?...!!
Pigia mstari hayo maneno.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwa hiyo mkuu Mzee wetu katutoka kwa makusudi ili Bashiru nae apate uteuziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daah hii kali
 
hivi yuda aliacha watoto maana maandiko sijaona.ila dunia ya sasa ina ukoo na vizazi vya yuda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…