Waliowashawishi kuhamia CCM wanaondoka bila ahadi ya vyeo kutimia. Nani alaumiwe?

Kwanini sio sahihi? Unadhani KUWA specialist doctor ndio kuwa na akili? Inawezekana ameelimika lakini hana akili!!!
..sikubaliani na mtizamo wako.

..na wewe hukubaliani na mtizamo wangu.

..tukubali kutokukubaliana.
 
Kama kuna ambaye anaondoka aende chap kwa haraka sifa ya uongozi ni UVUMILIVU.
 
Hawa jamaa akikuhaidi kitu usipo changaka kiroho na kiakili
Hawa jamaa wakikupatia wanakuona bwege sana
 
Katibu mkuu ajaye hapa lumumba ahakikishe maccm tunaandaa pesa za kutosha ili tumnunue Freeman Mbowe, Fatma Karume, Maria Sarungi na Kigogo wa Twitter
 
Kuhama chama ni UMALAYA wa kisiasa as Mwalimu would have put it!! Wakina Mashinjii na wenzie kutoka Chadema walitongozwa na kununuliwa ili kuhamia CCM!!

..Mwalimu Nyerere naye ni binadamu.

..msichukulie kuwa kila anachosema ni sahihi.

..sasa ukisema aliyenunuliwa ni malaya, je aliyenunua siyo malaya?

..tusitumie maneno magumu sana ktk siasa na mijadala.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…