Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Acha uchokozi, uzuri nina kujibu wewe unaenifahamu vyema, nilipo pananitosha sana. Ikitokea nakubali uteuzi business empire yangu itapungua nguvu au kufa. Sikupata mali kupitia siasa ni kwa jasho na damu. Nilipo panatosha.Mkuu utateuliwa lini ?
Kwahiyo maccm yalikuwa yanamlia timing msukuma bwana mashinji(makapi)Inasemekana aliachwa makusudi ili aje kujaza nafasi ya Bashiru
tembea uone..Hivi kwanini hakunaga supu ya nguruwe?
Ana nguvu wapi sijaelewa ndani ya cc ya chadema au baraza kuu !!??Kwa sasa hata Chadema ikiitisha kikao cha baraza kuu hakitaweza tena kuwavua uanachama akina Halima James Mdee.
Dr Bashiru amekalia kiti chenye nguvu sana!
Kote!Ana nguvu wapi sijaelewa ndani ya cc ya chadema au baraza kuu !!??
Wewe utateuliwa lini ?Kote!
Wametangaza?Na hali si nzuri, vilio vishaanza kusikika
Hiyo dynasty ya sukuma tumbo joto hadi Jiwe ajitokeze alikoendaNgoja tuone kama ataipata. Miye sidhani ila kwa kuwa naye ni wa Kanda pendwa kuna uwezekano.
Unawaombea wenzio,anzia nyumbani kwako kwanza,tunasema nyumbani kumenoga.Ngoja tuone!
Nadhani sasa ndio watafaidi zaidi.
Wanaweza kulamba uwaziri!
Wametangaza nini ?Wametangaza?
Si kwamba hajui kuwa walishafurushwa chamani bali anajitia kutojua!!Mbona uanachama walishavuliwa kitambo !