Walipoitwa watendaji wa Kata wa nchi nzima Ikulu , Humphrey Polepole alihudhuria kama nani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
IMG_20191109_083453.jpg

Ni vema maswali madogo kama haya yakajibiwa ili kuitenganisha ikulu na uchafu wowote
 
Attachments

  • Apandacho mtu ndicho atakachovuna ( 268 X 480 ).mp4
    370.1 KB
kwenye mikutano na baadhi ya vikao ikulu watu mbalimbali Wa chama na serikali hualikwa ili kutoa ufafanuzi Wa hoja mbalimbali zitakazoibuliwa.

La pili, Magufuli ni mwenyekiti Wa CCM kwa nini ushangazwe kumualika mwanachama mwenzake mahali. msichotaka kuona ni Rais Magufuli kutembea na cheo cha mwenyekiti Wa CCM wakati ni chake na anacho mpka wakati ukifika Wa kukiacha.

La tatu, Maagizo ya Rais Magufuli ni utekelezaji Wa ilani na kwa kuwa yeye ana majukumu mengine mengi zaidi ya kuiongelea ilani basi jambo hilo litafanywa na Polepole ( mwenezi Wa chama)
 
Tunaandaa orodha ya watakaodakwa muda mfupi ujao , kinachofanyika sasa ni kukusanya ushahidi
Muongo wewe huwa unasema hivyo hivyo,

Orodha yako ya waliojiandikisha mbona hujatoa?

Au kazi yako ni kuhadaa watu.
 
kwenye mikutano na baadhi ya vikao ikulu watu mbalimbali Wa chama na serikali hualikwa ili kutoa ufafanuzi Wa hoja mbalimbali zitakazoibuliwa.

La pili, Magufuli ni mwenyekiti Wa CCM kwa nini ushangazwe kumualika mwanachama mwenzake mahali. msichotaka kuona ni Rais Magufuli kutembea na cheo cha mwenyekiti Wa CCM wakati ni chake na anacho mpka wakati ukifika Wa kukiacha.

La tatu, Maagizo ya Rais Magufuli ni utekelezaji Wa ilani na kwa kuwa yeye ana majukumu mengine mengi zaidi ya kuiongelea ilani basi jambo hilo litafanywa na Polepole ( mwenezi Wa chama)
kama ni hivyo kuna haja gani ya kuwa na Tamisemi ?
 
Back
Top Bottom